1.Kuwa bwege Kwa kila Jambo.
2.Husishindane na Wenye Mamlaka au wenye Fedha.
3.Jiepushe na Marafiki, vijiwe, na uzulaji kama huna mahali pa kwenda Heri ujifungue ndani kwake ulale.
4. Epuka kamdomo, kuchangia Mada za kuwasema wengine, kuzungumzia mambo yasiyokuhusu wala kutoa Ushauri Kwa mambo ya watu.
5. Epuka Ajira za Ulinzi, Ajira za Fedha na Utunzaji Wa Mali. Kama kuna KAZI ya Kudeal na makaratasi au Nguvu ni Heri uifanye hizo.
6. Muombe Sana Mungu akutete kwenye hatua zako za Utafutaji na Maisha husiangalie huko.
7. Elewa Kwamba kukamatwa na kukaa kituo cha Polisi sio shida Sana wala Hakuna tatizo lolote baya. Ila kupelekea gerezani na kuburuzwa mahakaani hapo ndo balaa lilipo.
8. Tafuta pesa, miliki fedha.
9. Husigombane na mwanamke hakasema mapenzi yamefika mwisho, husimbembeleze muache aende