Nifanye nini hapa?

Jipe Muda (space) kwanza utulie huku unafanya mambo yako kaanae mbali kwa Muda.. Then Fikiria kwa Makini toka Mlipoanza mpka mlipofika bila kumtetea Moyo wako unajua ukweli zaid ya huu ulioandika hapa pia ndio unajua kakuumiza kiasi gani.. Kisha Acha uoga Fanya maamuz sahihi. Tambua hili ukiwa na Mchumba wako au GF na ukaona ameshakuumiza mara ya kwanza then hajabadilika wala kujifunza kutokana na Makosa.. Tambua kua hata kwenye ndoa hakufai.. Maana atarudia makosa yaleyale coz kama alishindwa kujirekebisha kwny Uchumba Usitegemee kwenye Ndoa atajifunza.
 
Kama unatumia nguvu nyingi sana kumshawishi sio wako huyo. Love is easy, kama maji yanavyoshuka kilimani. Usihangaike kupandisha maji kilimani
 
Inaonekana huyo dada ulimuotea na wewe ni domo zege hauwezi kupata demu mwingine kwasababu za kiuchumi au muonekano.

Jichunguze.
 

Yaani akili uliyokua nayo wakati unasoma ndio hiyo hiyo umeenda nayo chuo ukabaki nayo mpaka leo umeanza maisha bado una akili ile ile? Haikui??..wee kweli pimbi!
 
Dar unatakiwa kutumia akili tu tabia inajileta yenyewe...wewe kama unampenda muoe,suala la tabia achana nalo kwa kuwa haina impact yoyote kwenye mchezo wa kibaba na mama!
 
Embu endelea kutengeneza maisha kwanza kama kuoa utaoa tu huko mbele ya safari.Halafu ulivosema unangoja after a year muanze kuishi pamoja,how?kama wanandoa?au mahawara?.
Mbona mwaka mmoja ni mdogo sana kwa kuanza kuishi na mwanamke kijana!!,unawahi nini?,unapenda majukumu ehhh,subiria kwanza hata uwe stable kidogo bwanaaa majukumu utakayokutana nayo maishani huyo mwanamke utamwona mchungu humo ndani.Sasa sikia,hadi hapo ushaona huyo ni mwanamke wa aina gani,kuanza kuonyesha nyodo mapema ivo i a maana either ashapata mwengine wa kumpumzikia(kama avokua anapumzika kwako) or kaona we huna dalili ya kujijenga leo wala kesho,for the time being MPOTEZEE bado hujapoteza muda.AU WE NDO TATIZO MJOMBAAAA?????????
 
Umesema eti anakuona wewe kama pimbi! Kwani unadhani ni uongo??

kweli wewe ni pimbi, ameshakuona wewe ni boya, na kamwe mwanamke yoyote hawezi kuishi na boya hata umpende vipi, hakuna mwanamkr wa asili ataishi na mwanaume kama wewe, kwanza wewe ni domo zege, ulitaka mteremko na yeye kipindi hicho alikuwa kapigwa mashine na kutupwa kule ikabidi apumzike kwako.

Haitoshi alichapwa tena na rafiki yako licha ya kuufahamu ukweli uliendelea nae, yamkini wewe ndie ulimuomba msamaha wakti yeye ndiye kakosea.

Hata ulipokuwa chuo ulipata hbr zingine kuwa huku mchumba wako watu wanakula kwa mwendo huru, hata hivyo kwakuwa una inferiotity complex hukuona kama ni issue.

Hakuna mwanamke anaweza kuishi na mwanamme kama wa dizaini yako, hata ujifanye unampenda vipi, you have to remain like a man, behave like a man, act and think like a man.
 
Sasa huyu hamjaanza kuishi pamoja anakutenda hivi badala ya kukunyenyekea au kukuonyesha heshima na kukujali, mkianza kuishi pamoja si ndiyo nanga itapaa? Ni bora tu utafute mdada mwingine na huyu umpotezee na hasa ukitilia maanani mtoto si wako. Ukiamua kuendelea na huyu basi ujue fika siku za usoni utakuja kulia kilio cha mbwa, mdomo juu.
 
Inaonekana huyo dada ulimuotea na wewe ni domo zege hauwezi kupata demu mwingine kwasababu za kiuchumi au muonekano.

Jichunguze.
Na earn more than 100k per day...Muonekano wangu sina uhakika kama ni mbaya kihivyo.
 
Thanks
 
U said it all [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] .....and he need to grow his a*s too!!!!!/
 
shah ruk khan alishawahi kusema hakuna mapenzi bila urafiki kwanza...... leo ndo nimeamini yaani jamaa baada ya kuachana na huyo mwanadada.... baada ya kuombwa urafiki mapenzi yakafuatia asante sana kuch kuch hota hai
 
Pole sana kak....ila kwa maono yangu huyo achana nae una moyo mzuri sana na kama hakukuelewa mpaka sasa....usiangaike nae accept tu yameisha na uendelee kujijenga mwenyewe mapenzi ndoa vipo tu.....omba mungu kila kitu kitakuja kwa wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…