Nifanye nini ikiwa mtu kafungua akaunti ya Telegram kwa kutumia namba yangu?

Nifanye nini ikiwa mtu kafungua akaunti ya Telegram kwa kutumia namba yangu?

Subiri tu itafungwa kwa vile hana access ma simu yako sidhani kama ana uwezo wa kucancel. Umejifunza soma zuri at a cheap price.
 
Asanteni kwa ushirikiano wenu, nimesubiri siku 7 zimepita Sasa namba yangu imerudi kwangu
 
Hatimae account imerudi kwangu
Screenshot_20230217-154140.jpg
 
Back
Top Bottom