Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
mi nashangaa, vinapenda kula bila maganda afu havitaki mimba.
Ni sawa na kupanda bangi ukataka kuvuna mchicha.
umeniacha hoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nashangaa, vinapenda kula bila maganda afu havitaki mimba.
Ni sawa na kupanda bangi ukataka kuvuna mchicha.
Kwenye bold sawasawa umenena
Kwenye blue tayari keshaingia kwenye mapenzi na ngono wanafanya.........Itakuwaje?
Kwenye red hapo sasa hofu ya kijana ndipo itapaa...atauliza kulikoni tena kunikwepa
marrykate,nimekutana na makorokoro ya kutosha tu kwenye mahusiano yaliyopita siwezi kuyaelezea hapa, in short nilikuwa napenda wauza sura, mwenye maumbo mazuri warefu, wapana wapan dezain, kama mapower vile hehehe, sasa hivi nimegundua mwonekano hauna mashiko bali ni tabia njema na njisi mtu anayokuthamini na kukujali, on top of that in mvumilivu sana sijawahi ona, pamoja na uelewa wake ndo vilivyonifanya nikakubali haraka haraka,
note katika hiyo miaka kumi na mbili alikuwa rafiki yangu wa kawaida, tunashare intersest nyingi mmo, tunaelewana kwa kila kitu tatizo ni mwonekanao wake,tunalingana urefu na mimi nilipenda mwanaume anaenizidi urefu
marrykate,
Nimekuelewa mama hapo ndipo panapokuwa pagumu, mpaka sasa huenda anajua wewe huwa unapenda wanaume wa aina gani na akijiangalia yeye anaona kabisa kimsingi he still doesnt fit your qualifications hiyo ndio sababu anataka kutengeneza bond itakayokuweka kwake. He thinks what if atatokea mtu siku moja mwenye sifa unazozitaka na akawa na katabia kema unakokataka will you still be with him?
The same question jiulize wewe, what if itatokea siku ukakutana na mtu mwenye sifa zaidi ya hizo zake, will you still be with him? Kuhusu suala la mimba ushauri wangu ni kwamba its good kupata mimba now mpaka pale mtakapokuwa mmeafikiana kuwa wamoja kwa commitment. Sina uhakika sana lakini mi nahisi bado wote hamjaamua kuwa pamoja na believe me take time before you take any commitments. Ntakwambia kitu kimoja kutoka kwenye tabia halisi za kibinadamu, mara nyingi situations kama hizi huwa zinapelekea mtu kujenga kisasi kwahiyo hata anapokupata kuna "wengine" hutaka kulipiza kisasi kwa muda wote aliajaribu kukupata akashindwa. so take time before you get into any commitment.
kwa maelezo uliyoyatoa hapo juu inaonyesha wewe ni mwanamke msumbufu mno. unaonekana hujui unataka nini. sasa wewe mwenyewe ukiwa hujui unataka nini, yeye ndio kabisaa atakuwa hajui unachokitaka. kwa kumkorofisha mara kadhaa ili akae mbali na wewe ume-create mazingira ya kumfanya asikuamini. Sijui yeye ni dhehebu gani kwa maana madhehebu mengine kuoa mwisho mara moja(unless mmoja afariki) hivyo akikuoa halafu ukamkimbia itakuwa imekula kwake. Kwa hiyo yeye anadhani akisha-kuzalisha ndio hautaweza kumkimbia, ndio maana anataka mimba kwanza anasahau kuwa hiyo mimba ambayo anataka akuone umeibeba inaweza ikawa sio yake vilevile.nilifahamiana na huyu kaka miaka kumi na mbili iliyopita, alisha propose mara tatu na zote sikukubali,na pia nimemfanyia vituko vingi sana ili akae mbali na mimi, miezi kama mitatu imepita siku moja nikanza kumuwaza in a positive way,nikakumbuka mazuri yake na kutamani niwe nae, uwezi amini the same day nawaza akanipigia simu nikaongea nae vizuri kwa utulivu mwingi, hakuamini kama ni mimi na usiku wa siku hiyo akanipigia tena na kupropose kwa mara ya nne, nilimkubalia, tupo kwenye mahusiano sasa hivi yamekolea balaaaa, ila mwenzangu ana wasi wasi mwingi kwamba naweza kumwaga muda wowote, na anataka anijaze mimba kabla sijabadili mawazo,sipo tayari kubeba mimba kabla ya ndoa
nifanye nini ili aniamini nampenda kwa dhati na sipo tayari kumpoteza. ili asubiri tufunge ndoa kwanza ndo nipate ujauzito
If thats the case then nakutakia kila la kheri marrykatenikisikia kuhusu revenji, utumbo unachanganyikana anyway naomba isitokee hivyo
ila kwa sasa nampenda sana, na sidhani kma ntampenda mtu mwingine zaidi yake, zile kasoro za mwanzo nao zinanivutia sioni tatizo kabisa kuwa nae
nilifahamiana na huyu kaka miaka kumi na mbili iliyopita, alisha propose mara tatu na zote sikukubali,na pia nimemfanyia vituko vingi sana ili akae mbali na mimi, miezi kama mitatu imepita siku moja nikanza kumuwaza in a positive way,nikakumbuka mazuri yake na kutamani niwe nae, uwezi amini the same day nawaza akanipigia simu nikaongea nae vizuri kwa utulivu mwingi, hakuamini kama ni mimi na usiku wa siku hiyo akanipigia tena na kupropose kwa mara ya nne, nilimkubalia, tupo kwenye mahusiano sasa hivi yamekolea balaaaa, ila mwenzangu ana wasi wasi mwingi kwamba naweza kumwaga muda wowote, na anataka anijaze mimba kabla sijabadili mawazo,sipo tayari kubeba mimba kabla ya ndoa
nifanye nini ili aniamini nampenda kwa dhati na sipo tayari kumpoteza. ili asubiri tufunge ndoa kwanza ndo nipate ujauzito
nashangaa kwa nini wanawake wanaogopa sana mimba kabla ya ndoa, mbona sielewi? Why?
Yaani yuko radhi azichomoe hadi aolewe au asubiri hata afikishe miaka 40 hazai wakati anapenda watoto.
Ndoa si suluhisho, ni bora kuwa kwenye mahusiano yenye afya hata kama si ndoa kuliko kukalia kuti kavu ndoani.
Kwani dada how old r u??sorry to ask but........
The reason jamaa hajiamini kabisaaaaa, anahisi kile ulichokikosa mwanzo kwake ukikipata kwa mwingine huyooooo, unasepa zako, ila anakupenda kweli ndo maana anataka kutengeneza muunganiko through mtoto, kama u r old enough kuolewa then let u guys arrange for a marriage then carry on with the rest of the children procedures.
Best of Luck, muaminishe unampenda pia kwa kuanza kudemand marriage but only if upo teyari 4 dat.
Ila unanishangaza unavyosema uko tayari hata akiondoka..............unamaanisha nn??au upendo wako kwake unaning'inia kwa uzi wa nepi?!?!au hayo maneno unayaropoka tuuuuuuuu?!?!
hivi kaka yangu platozoom kwanini mawazo ya uzinzi yanafunika akili za wachumba wa siku hizi? hivi kwanini mnajiaminisha kwamba upendo lazima uende na kutiana? aisee sijui niwabadilisheje ili muone thamani ya ujana usiokua na uzinzi ilivyo.
unajua the modern psychology is often misrepresented sometimes with deliberate dishonesty as providing justifications for all kinds of undesirable behavior. sasa imefika mahali mtu hawez kuwa na mchumba mpaka wamevuliana nguo what kind of generation are we grooming? hivi kwanini tushindwe na wanyama?
sijawah kumuona ng'ombe kapandwa na dume kama hayuko kwenye heat, na anauhitaj wa kubeba mimba sisi binadam tumeligeuza do you know the meaning and purpose of sex?
pleasure which comes from sex naturally was meant to be a bait for man and a woman to accept the responsibilities of parenthood. and sex was meant for progeny sijui kwanini sisi tunabadili haya na saikolojia za siku hizi kwamba hatuwez kucontain sex instinct.Yaani kwakweli madhara ya kufanya ngono mapema bila kuwa na mpango wa maisha ni makubwa na nayafananisha na moto ambao hutuwezesha kaupika lkn kila siku tunaskia madhara yake wengne wameungua ama nyumba zimeungua, tena madhara ya sex yanazidi hapa. Hebu vijana mfike mahali muone kwamba hiyo sex siyo kitu cha kufanya tu kila unapojiskia kina maiiko yake.
Rutta,what if Marry is your very own daughter,utamshauri hivi?
Kongosho unajua nini mpenzi, mimi mwenyewe simjui baba yangu alikula kona ya kulea na hata hakutaka kuwajua watoto wake, hiyo imeniuma sana sipendi mwangu aishi maisha hayo na ndio maana napenda nazae nikiwa ndoani kama mungu akijaalia, ili watoto wangu wapate kumjua na kumpanda baba yao
beba mimba unaogopa nin, siumempenda kwa dhati??????????nilifahamiana na huyu kaka miaka kumi na mbili iliyopita, alisha propose mara tatu na zote sikukubali,na pia nimemfanyia vituko vingi sana ili akae mbali na mimi, miezi kama mitatu imepita siku moja nikanza kumuwaza in a positive way,nikakumbuka mazuri yake na kutamani niwe nae, uwezi amini the same day nawaza akanipigia simu nikaongea nae vizuri kwa utulivu mwingi, hakuamini kama ni mimi na usiku wa siku hiyo akanipigia tena na kupropose kwa mara ya nne, nilimkubalia, tupo kwenye mahusiano sasa hivi yamekolea balaaaa, ila mwenzangu ana wasi wasi mwingi kwamba naweza kumwaga muda wowote, na anataka anijaze mimba kabla sijabadili mawazo,sipo tayari kubeba mimba kabla ya ndoa
nifanye nini ili aniamini nampenda kwa dhati na sipo tayari kumpoteza. ili asubiri tufunge ndoa kwanza ndo nipate ujauzito
jipe mda endelea kumsoma kwanza ..........
nimekutana na makorokoro ya kutosha tu kwenye mahusiano yaliyopita siwezi kuyaelezea hapa, in short nilikuwa napenda wauza sura, mwenye maumbo mazuri warefu, wapana wapan dezain, kama mapower vile hehehe, sasa hivi nimegundua mwonekano hauna mashiko bali ni tabia njema na njisi mtu anayokuthamini na kukujali, on top of that in mvumilivu sana sijawahi ona, pamoja na uelewa wake ndo vilivyonifanya nikakubali haraka haraka
Mbona waninyooshea kidole...kulikoni!
Usikubali kubeba mimba kabla ya ndoa.Itakula kwako!