Nifanye nini ili aniamini

Kwenye bold sawasawa umenena
Kwenye blue tayari keshaingia kwenye mapenzi na ngono wanafanya.........Itakuwaje?
Kwenye red hapo sasa hofu ya kijana ndipo itapaa...atauliza kulikoni tena kunikwepa

hivi kaka yangu platozoom kwanini mawazo ya uzinzi yanafunika akili za wachumba wa siku hizi? hivi kwanini mnajiaminisha kwamba upendo lazima uende na kutiana? aisee sijui niwabadilisheje ili muone thamani ya ujana usiokua na uzinzi ilivyo.

unajua the modern psychology is often misrepresented sometimes with deliberate dishonesty as providing justifications for all kinds of undesirable behavior. sasa imefika mahali mtu hawez kuwa na mchumba mpaka wamevuliana nguo what kind of generation are we grooming? hivi kwanini tushindwe na wanyama?

sijawah kumuona ng'ombe kapandwa na dume kama hayuko kwenye heat, na anauhitaj wa kubeba mimba sisi binadam tumeligeuza do you know the meaning and purpose of sex?

pleasure which comes from sex naturally was meant to be a bait for man and a woman to accept the responsibilities of parenthood. and sex was meant for progeny sijui kwanini sisi tunabadili haya na saikolojia za siku hizi kwamba hatuwez kucontain sex instinct.Yaani kwakweli madhara ya kufanya ngono mapema bila kuwa na mpango wa maisha ni makubwa na nayafananisha na moto ambao hutuwezesha kaupika lkn kila siku tunaskia madhara yake wengne wameungua ama nyumba zimeungua, tena madhara ya sex yanazidi hapa. Hebu vijana mfike mahali muone kwamba hiyo sex siyo kitu cha kufanya tu kila unapojiskia kina maiiko yake.
 
Last edited by a moderator:
unajua kuna wanaume hawakubali kushindwa ........anaweza kukufwatilia muda mrefu na akikupata utakoma.

mimi nilishafanyaga huo ujinga yaliyonikuta najua mwenyewe.

kuwa mwangalifu my dear na ingekuwa vizuri ungeendelea na msimamo wako wa kukataa tangia mwanzo.

heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
marrykate,

Nimekuelewa mama hapo ndipo panapokuwa pagumu, mpaka sasa huenda anajua wewe huwa unapenda wanaume wa aina gani na akijiangalia yeye anaona kabisa kimsingi he still doesnt fit your qualifications hiyo ndio sababu anataka kutengeneza bond itakayokuweka kwake. He thinks what if atatokea mtu siku moja mwenye sifa unazozitaka na akawa na katabia kema unakokataka will you still be with him?

The same question jiulize wewe, what if itatokea siku ukakutana na mtu mwenye sifa zaidi ya hizo zake, will you still be with him? Kuhusu suala la mimba ushauri wangu ni kwamba its good kupata mimba now mpaka pale mtakapokuwa mmeafikiana kuwa wamoja kwa commitment. Sina uhakika sana lakini mi nahisi bado wote hamjaamua kuwa pamoja na believe me take time before you take any commitments. Ntakwambia kitu kimoja kutoka kwenye tabia halisi za kibinadamu, mara nyingi situations kama hizi huwa zinapelekea mtu kujenga kisasi kwahiyo hata anapokupata kuna "wengine" hutaka kulipiza kisasi kwa muda wote aliajaribu kukupata akashindwa. so take time before you get into any commitment.
 
Last edited by a moderator:


nikisikia kuhusu revenji, utumbo unachanganyikana anyway naomba isitokee hivyo

ila kwa sasa nampenda sana, na sidhani kma ntampenda mtu mwingine zaidi yake, zile kasoro za mwanzo nao zinanivutia sioni tatizo kabisa kuwa nae
 
kwa maelezo uliyoyatoa hapo juu inaonyesha wewe ni mwanamke msumbufu mno. unaonekana hujui unataka nini. sasa wewe mwenyewe ukiwa hujui unataka nini, yeye ndio kabisaa atakuwa hajui unachokitaka. kwa kumkorofisha mara kadhaa ili akae mbali na wewe ume-create mazingira ya kumfanya asikuamini. Sijui yeye ni dhehebu gani kwa maana madhehebu mengine kuoa mwisho mara moja(unless mmoja afariki) hivyo akikuoa halafu ukamkimbia itakuwa imekula kwake. Kwa hiyo yeye anadhani akisha-kuzalisha ndio hautaweza kumkimbia, ndio maana anataka mimba kwanza anasahau kuwa hiyo mimba ambayo anataka akuone umeibeba inaweza ikawa sio yake vilevile.
 
nikisikia kuhusu revenji, utumbo unachanganyikana anyway naomba isitokee hivyo

ila kwa sasa nampenda sana, na sidhani kma ntampenda mtu mwingine zaidi yake, zile kasoro za mwanzo nao zinanivutia sioni tatizo kabisa kuwa nae
If thats the case then nakutakia kila la kheri marrykate
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tulivyo vichaa sasa pamoja na kukulilia kwa muda mrefu utashangaa mkishafunga ndoa ataanza vitimbi vya kukimbizana na akina asha wa nje sijui tupoje?
ASIJE AKAKUBWAGA :hurt:



 
Ikiwa unampa K kabla ya ndoa sasa ndoa ya nini tena endeleeni tu na kamchezo kenu :baby:
 
Wana hiyana hao haikawii kuja kuwa tusi na neno lakejeli baada ya miaka mingi kupita Babu Asprin amesema yote.

 
Kwani dada how old r u??sorry to ask but........
The reason jamaa hajiamini kabisaaaaa, anahisi kile ulichokikosa mwanzo kwake ukikipata kwa mwingine huyooooo, unasepa zako, ila anakupenda kweli ndo maana anataka kutengeneza muunganiko through mtoto, kama u r old enough kuolewa then let u guys arrange for a marriage then carry on with the rest of the children procedures.
Best of Luck, muaminishe unampenda pia kwa kuanza kudemand marriage but only if upo teyari 4 dat.
Ila unanishangaza unavyosema uko tayari hata akiondoka..............unamaanisha nn??au upendo wako kwake unaning'inia kwa uzi wa nepi?!?!au hayo maneno unayaropoka tuuuuuuuu?!?!
 


siropi ndungu yangu, sipendi kumng'ang'ania mtu najua madhara yake, so incase anataka revengi ntamwacha aende kwa amani,
 

Mbona waninyooshea kidole...kulikoni!
 
Ndoa ni guarantee?

Hujawahi sikia neno 'kutelekezwa'? tena una watoto watano?

Anyway, unajua utakalo, ila upendo wenyewe huu wa kuunga na gundi ya 'minyaa'? Tegemea lolote

 
beba mimba unaogopa nin, siumempenda kwa dhati??????????
 

Dada marrykate binafsi nakupongeza kwa kuweza kugundua tatizo kubwa linalochangia vilio kwa wanawake kwenye mahusiano yao (hapo kwa red).

Nami nakushauri usibebe mimba kabla ya kufunga ndoa. Jitahidi tu kuwa naye karibu zaidi na zaidi ili akuamini. Hiyo ni hali ya kawaida kwa mwanaume yeyote ambaye amesumbuliwa na msichana kwa muda mrefu. Anakuwa kama haamini vile. Ndo maana nashauri ujitahidi kutomjengea mazingira ya kutokukwamini kwani atahisi bado hujamkubali toka moyoni. I believe atakuamini tu after some time hasa ukiendelea kuwa karibu naye na kuzidi kumhakikishia kuwa upo na yeye tu.

Ila chonde chonde suala la mimba kwa sasa iwe big No, uwezi jua yeye anakuwazia nini kwa sasa kwani binadamu tumeumbwa na roho ya kisasa. Na siamini kama anaweza kulipa kisasi ukishafunga naye ndoa, possibility ni ndogo sana kuliko hivi sasa ambapo mpo kwenye relationship ya boyfriend na girlfriend.
 
Usikubali kubeba mimba kabla ya ndoa.Itakula kwako!

...Cuts both ways bana...

mimba kabla ya ndoa ni "pingu ya maisha" --- kivuli hiko, ...hata ukaoe mji gani
mtoto uliyemtelekeza, au hata kama unamlea ataendelea kuwa Stamp Duty ya
"Uzinzi" wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…