Nifanye nini ili aniamini

Wanawake bana,ngoja nimalize kula haya makande kwanza!
 
Sasa unasikitika nini wakati umemwacha mwenyewe? mijianaume bwana? sijui ikoje? Mwaya Marry inawezekana jamaa anataka kulamba mzigo then asepe, maana kama anaogopa usije kumwacha ni kwa nini asikuoe kabisa ndo akushibishe jamani???????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…