Nifanye Nini ili anipende??

Nifanye Nini ili anipende??

bado hujaelewa soma wewe ongeza nae miaka mitatu na ukifirisika ndo utaelewa shida yake
 
mle tigo sawa-sawa...............mpaka akitembea achechemee. hili nawe akukumbuke vizuri ulimla tigo yake
 
huyo ameshatendwa so hana imani na wanaume thts y anakuzengua.
 
Utawezaje kuchota maji kwenye debe tupu!
 
badili mwenendo labda unamnunua sana na yeye anakukomoa unajitia unazo siyo usitoe pesa starehe cut off mpeleke kanisani huyo angalia njia hii inaweza ikaboresha
 
kwa nini pesa zako unazozidi kuzifanya kuni za kupikia mawe usizihurumie? Aaa laaaa! Ati nn? Ulienda chumvini? Utaambulia fangasi bure! Huyo ni kahaba, tupa kulee tafuta kifaa kingine mwache aende..
 
kwa yote hayo uliyomfanyia, naona hawezi kukupenda kamwe.
 
Nimempa pesa nyingi sana..

Nimemlipia ada ya chuo..

Nimeingia chumvini...

Ufundi mwingi nimetumia...

Zawadi nyingi sana nimemnunulia...

Sehemu za starehe nyingi nimempeleka..

Na mambo kadhaa wa kadhaa....

Bado namuona hana upendo na anachokitaka kwangu ni pesa tu ...

Wataalamu wa Jf nawauliza inawezekana kweli kumbadili aweze kunipenda??

Detailz za mwanamke mwenyewe
1-22 years old
2-Amewahi kuumizwa sana kimapenzi(story amenipa mwenyewe)
3-Ni Msukuma
4-Mahusiano yetu=mwaka 1

Be so casual kwake na mfanye aelewe kuwa utampenda kiasi kile kile anachotaka yeye. Lazima umfanye ajuwe kuwa nawe unataka marejesho kwa mapenzi uliyonayo na wala asikutumie wewe kujilipa hayo maumivu aliyotendewa.
 
Boflo , ni kweli sikujui in reality lakini from reading your comments here I get mixed conclusion who real are you. I know for sure you're gay (based on your confession somewhere) but now somethign tells me you're Homo and I am not even sure you could be sissy.

Sorry for gettign too personal, huyo mwanamke she must be sensing somethign wrong with your sexuality labda ndio maana anakuweka ni kitega uchumi. Ninavyojua mimi wasukuma, they go for real man, if you're not close to that category, you're wasting your resources.

Just my view....could be wrong tough!
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo ushauri mpe mimba uone kama hata kupenda..
baaaaad advice, utampa mimba, atakubali kuolewa na wew coz hana choice... but she will be cheating on you always coz she did not love you in the first place....., upo tayari kwa hilo?
 
mkuu umetumia vigezo vp ili kugundua kwamba akupendi? unajua kuna kipindi kwenye mahusiano watu huwa mnasomana isije ikawa huyo binti anafanya vitu ili akusome where u are make sure simama as a boy acha kuwa na fikra za kutopendwa mpende na kumjali utaona maendeleo ya uhsiano wenu
 
boflo mi npo sihitaji pesa wala zawadi.,nahitaji mapenz ya dhati.,
 
yaani hapa tu, umenigusaje?????

double Like
Triple LiKe to Real Men
Ninavyojua mimi wasukuma, they go for real man, if you're not close to that category, you're wasting your resources.

Just my view....could be wrong tough!
 
Back
Top Bottom