Na hawawezi kugoma kwa sababu kuna walimu wengi mtaani serikali imewaweka reserve...mkigoma tu...mnaondolewa wote mliogoma wanaingia wengine...Waalimu jamani mpaka huruma
Mbona ulicho jibu hakiendani na nlicho uliza. Kwa mfano unafukuzwaje kazi kwa kuwagomea CWT?Na hawawezi kugoma kwa sababu kuna walimu wengi mtaani serikali imewaweka reserve...mkigoma tu...mnaondolewa wote mliogoma wanaingia wengine...
Ndio akili ya Magu...
Mwalimu, naomba nikupongea kwa kujitambua.Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na wanadai nisipo jaza hawatanitambua kama mwanachama. Sasa kama nisipo jaza hiyo form sitambuliki, kwann na katwa mshara wangu kuwachangia.
3. Nifanye nini ili mshahara wangu usikatwe kuwachangia hawa CWT?
Naomba kuwasilisha.
Sheria inaruhusu wakukate upende usitake kwa kuwa wao wana member zaidi ya 50% hivyo wote waliosalia lazima wakatwe.Pole mkuu ila nahisi walimu mnaonewa sana.Kiutaratibu sio lazima uwe mwanachama wa vyama vya wafanyakazi na ili uwe mwanachama ni lazima ujaze fomu.
Nashindwa kuelewa kwanini walimu imekuwa lazima hata kama hujajaza fomu.
Wafanyakazi wengi hawajajiunga na hawakatwi hasa wa kizazi hiki cha Digitali.
Sasa mkuu hujui umuhimu wa vyama vya wafanyakazi??? Why useme walimu wanaonewa??? What I know ni kwamba CWT,TUGHE,TALGWU wanachama wao pindi tu ukiajiliwa unakatwa kwenye hivyo kimoja wapo Na baadaye huwa wwnawaletea form ambayo mwanzo ilikuw form no 6 but inaitwa form no 15Pole mkuu ila nahisi walimu mnaonewa sana.Kiutaratibu sio lazima uwe mwanachama wa vyama vya wafanyakazi na ili uwe mwanachama ni lazima ujaze fomu.
Nashindwa kuelewa kwanini walimu imekuwa lazima hata kama hujajaza fomu.
Wafanyakazi wengi hawajajiunga na hawakatwi hasa wa kizazi hiki cha Digitali.
Anajitoa vp wkt yeye si mwanachama? Hajawahi jaza fomu ya uanachama CWT kwahyo kumkata si sawa. Aandike barua ya kipinga kukatwa kwa mkurugenzi copy kwa katibu mkuu CWT. Chama chenyewe cha wanyang'anyi tuu wanao neemeka ni viongozi period.Sasa mkuu hujui umuhimu wa vyama vya wafanyakazi??? Why useme walimu wanaonewa??? What I know ni kwamba CWT,TUGHE,TALGWU wanachama wao pindi tu ukiajiliwa unakatwa kwenye hivyo kimoja wapo Na baadaye huwa wwnawaletea form ambayo mwanzo ilikuw form no 6 but inaitwa form no 15
So usiwambie wanaonewa cha msingi kutokana Na sheria iliyopo kwamba kila mfanyakazi anayohaki ya Kujiunga chama chochot cha wafanyakaz akipendacho
Solution afanye hivi kama hatak kukatwa Na CWT
AANDKE barua mwezi mmoja kabla kwa katibu wa CWT sehem aliyopo kumjulisha kwamba najitoa kuwa mwanachama wa CWT Na naomba kuanzia mwez ujao nisikatwe tena
Copy chini apeleke sehem yake ya kaz kama wana tawi hao CWT akiambatanisha Na namba yake ya uanachama wa CWT
Sikiliza mkubwa hao utaratibu wao ni unakuwa automatic member wa CWT ilimrad tu kama ni mwalimu Na umekuwa employed Na serikali no way to run mkuu,,, nisikikilize kama hajajaza form wenda tu mistake imefanyika but hao badaye wanaletewa form wajaze baada tu kuingizwa kwenye makato hayo ya kichama,,,, cha msng awasiliane kwanza Na katibu wa CWT wa sehem aliyopo watampa mwongozoAnajitoa vp wkt yeye si mwanachama? Hajawahi jaza fomu ya uanachama CWT kwahyo kumkata si sawa. Aandike barua ya kipinga kukatwa kwa mkurugenzi copy kwa katibu mkuu CWT. Chama chenyewe cha wanyang'anyi tuu wanao neemeka ni viongozi period.
Sheria ndo inaendesha vyama vya wafanyakazi. Hakuna automatic membership mkuu. Kama anakatwa bila kujaz fomu ni makosa maana wanafanya kwa mazoea bila kufuata sheria. Sheria iko wazi kabisa.Sikiliza mkubwa hao utaratibu wao ni unakuwa automatic member wa CWT ilimrad tu kama ni mwalimu Na umekuwa employed Na serikali no way to run mkuu,,, nisikikilize kama hajajaza form wenda tu mistake imefanyika but hao badaye wanaletewa form wajaze baada tu kuingizwa kwenye makato hayo ya kichama,,,, cha msng awasiliane kwanza Na katibu wa CWT wa sehem aliyopo watampa mwongozo
Usiangalie sana sheria mkubwa
Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyoSheria ndo inaendesha vyama vya wafanyakazi. Hakuna automatic membership mkuu. Kama anakatwa bila kujaz fomu ni makosa maana wanafanya kwa mazoea bila kufuata sheria. Sheria iko wazi kabisa.
Ni kweli mkuu wanafanya hivyo kwa kurahisisha na sasa kumbuka CWT wana mpinzani kwahyo wanagombania wanachama. Wanafanta njama na maafisa rasirimali watu kuwaingiza walimu wapya moja kwa moja kwenye system bila kujaza fomu. Hii ni mbaya hawawatendei haki walimu. Na wenyewe kwsbb hawajui sheria hawaulizi.Uko right lakin ndo tumeshajijengea wenyew hvyo Na ndo maana waliokuta utaratibu wanaufuata hivyohvyo
Mm naona labda Kwa kumsadia afanye hivyo ulivyo mwelekez au aende Kwa katibu wa mkoa wa sehem aliyopo wa CWT I hope atasaidiwa
Ndo hvyo mkubwa Na kingine c unajua wanaogopa kile kifungu cha 19 cha ELRA NO.6/2004 NA pia kuna vyama vingi sana almost 13 Ambavyo viko under TUCTANi kweli mkuu wanafanya hivyo kwa kurahisisha na sasa kumbuka CWT wana mpinzani kwahyo wanagombania wanachama. Wanafanta njama na maafisa rasirimali watu kuwaingiza walimu wapya moja kwa moja kwenye system bila kujaza fomu. Hii ni mbaya hawawatendei haki walimu. Na wenyewe kwsbb hawajui sheria hawaulizi.
Ila CWT ya sasa ilivyo simshauri mwalimu kuwa mwanachama mkuu. Mimi ni mfanyakazi ila si mwanachama wa chama chochote cha wafanyakazi. Sioni tija.Ndo hvyo mkubwa Na kingine c unajua wanaogopa kile kifungu cha 19 cha ELRA NO.6/2004 NA pia kuna vyama vingi sana almost 13 Ambavyo viko under TUCTA
Huu mchezo wanao CWT,TALGWU NA TUGHE hvi vyama vina obtain members wao pindi tu wanapopata ajira serikalin huu ni uonevu