Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda .
Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni kimbembe psychological uwa inaniumiza sababu ni case inayojirudia mara kwa mara kutokana na life style yangu.
Naomba kama kuna mtaalamu humu ndani au ushauri nijue cha kufanya ili nipone.