Hilo tatizo hata Mimi ninalo.Ahsante
Umefanyaje kuritibu mkuu pengine twaweza kusaidianaHilo tatizo hata Mimi ninalo.
Siku moja pale airport nilikaa kwenye foleni zaidi ya robo saa kila napo weka mikono sehemu niliyoambiwa alama hazionekani hadi watu waliopo nyuma yangu wakaanza kukereka. Pia kuna simu nilikuwa nimeweka lock ya fingerprint baadae nikashindwa kuifungua hadi nikalazimika kuiflash.