Tatizo lipoNi avatar tu kuna tatizo kwan
Lipi hilo tena????Tatizo lipo
Njoo pm nikwelezeLipi hilo tena????
Mkuu msimu wa Christmas huu shauri yako, na mwezi Januari watoto wanaenda shule.Njoo pm nikweleze
Kila mtu na udhaifu wake, msaidie.No comments namweshimu sana huyu dada
Hilo ni Pepo. Ni sawa Na kukaa barazani pa wenye mizaha. Biblia imetukaza.Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah amefanya nini wiki hii. Ninataka niachane na ki tabia hiki.
Ndio mitaa ya wapi hiyoNjoo pm nikweleze
[emoji23]Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah amefanya nini wiki hii. Ninataka niachane na ki tabia hiki.
Asante sana, ni muhimu kufahamu yanayoendelea katika jamii. Wengi wameona maambukizi ya UKIMWI baada ya kusikia tetesi kuwa Fulani ni muathirika na kukaa nae mbali.Mm sioni kama kuna shida saana hapo karibu kila mwanadamu ana tabia kama yako ila kwa kiwango tofauti , kwa ku proove hilo ndio maana Tasnia ya habari ndio chanzo kikubwa cha utajiri , matajiri wengi wa dunia yetu wanamiliki vyombo vya habari,kupenda kujua nn kinatokea duniani inaonyesha jinsi gani ulivyo up to date, tatizo linakuja pale unapoitumia hiyo habari kwa makusudio tofauti. kupenda kujua yanayotokea kwa majirani pia sio mbaya ubaya ni pale unaposambaza yale uliyoyajua kwa mtazamo HASI.
Nikikuangalia kwa jicho la jingine wewe ni mwanahabari by nature ila hujakitambua kipaji chako!usikwazike na maneno ya watu wote tuliomo humu JF tuna tabia zinazokaribiana na zako tunapenda kujua nini kinatokea duniani mpk kwa jirani zetu vinginevyo hii forum isinge exist.