Nifanye nini ili niache umbea

Nifanye nini ili niache umbea

Mm sioni kama kuna shida saana hapo karibu kila mwanadamu ana tabia kama yako ila kwa kiwango tofauti , kwa ku proove hilo ndio maana Tasnia ya habari ndio chanzo kikubwa cha utajiri , matajiri wengi wa dunia yetu wanamiliki vyombo vya habari,kupenda kujua nn kinatokea duniani inaonyesha jinsi gani ulivyo up to date, tatizo linakuja pale unapoitumia hiyo habari kwa makusudio tofauti. kupenda kujua yanayotokea kwa majirani pia sio mbaya ubaya ni pale unaposambaza yale uliyoyajua kwa mtazamo HASI.
Nikikuangalia kwa jicho la jingine wewe ni mwanahabari by nature ila hujakitambua kipaji chako!usikwazike na maneno ya watu wote tuliomo humu JF tuna tabia zinazokaribiana na zako tunapenda kujua nini kinatokea duniani mpk kwa jirani zetu vinginevyo hii forum isinge exist.

Love this. Umeandika vizuri hadi raha.
 
Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah amefanya nini wiki hii. Ninataka niachane na ki tabia hiki.
hatuwez kusema moja kwa moja ni tabia ya kuzaliwa au kurithi lakn kulingana na uhalisia wa tabia yenyew yaweza kuondoka klingana na aina ya maisha ulojiwekea au kubadilisha mazingira unayoishi kiujumla ikiwemo watu wanokuzunguka, rafk na watu wengine pia jitahid sanaa kutafuta kijkaz au kitu chochot mfano mazoez ya hapa na pale yaweza kukusaidia kuachana na tabia iyo sababu unapoteza ving vya muhimu.........
!
 
Ninapenda sana kujua habari za watu, kuanzia macelebrity mpaka majirani zangu. Ninapenda kusoma habari hizo mitandaoni mpaka kwenye magazeti. Ninaweza kununua gazeti sh10,000 mradi tu nijue Oprah amefanya nini wiki hii. Ninataka niachane na ki tabia hiki.
1.Bila shaka insta LAZIMA wewe ni follower wa Mange. Bisha!!

2. Ile app ya Wema mwezi huu umelipia ?
 
Mwamini Yesu Kristo ..nenda kanisani ukaombewe...Soma biblia takatifu ...Jifunze maneno ya Mungu ...
 
Back
Top Bottom