colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
mkuu umejaribu sumu ya panya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu anayejiua haombi ushauriHakuna atakaekushauri ujiue maana damu yako itadaiwa mikononi mwake. Pambana kiume maisha utayashinda tu
Habari za muda huu wapendwa wanachama wa jamii forums,
Awali ya yote nawashukuru kwa kipindi chote mlichokuwa na mimi mpaka hivi sasa ambapo naelekea kufa na hamtaniona tena humu ndani,
Kwa kifupi nahitaji ushauri wenu juu ya nini nifanye au nijiue vipi ili nife kiurahisi?, manake nilijaribu kujinyonga nilipotest tu kupiga kistuli teke nikaona nabanwa haja kubwa kwa ghafla na mbele sioni kitu yaani naona giza tuu hiki kifo cha kujinyonga sikiwezi kabisa yaani ili nife mpaka nishushe mzigo kwanza halafu nakufa huku nimetumbua mimacho aisee siwezi kujinyonga,
Kama haikutosha nikanunua maji ya betri ya gari nikataka kunywa ila yalipofika kwenye ulimi tu nikahisi kama ulimi unakatika nikayamwaga na sikutekeleza kusudio langu mpaka hivi sasa nashindwa nijiue vipi manake ugumu wa maisha + kufukuzwa kazi + manchester kutufunga juzi naona sina thamani kabisa hapa duniani ,
Mtanisamehe nyote niliowaudhi kwa namna moja ama nyingine naombeni mnipe ushauri mzuri wa namna gani ninaweza kujiua bila kuteseka mpaka kufikia kukata roho,
NASUBIRI MAWAZO YENU ILI NITEKELEZE KUSUDI LANGU.
Mkuu sitanii nipo serious.Are you serious
Mkuu jaribu kuwa na utu basi , tena umenikumbusha machungu , kiujumla mke wangu ameniacha wiki iliyopita kaenda kusikojulikana na namba yake haipo hewani karibu wiki nzima.Nipe namba za simu za mkeo Kwanza...!!
Mkuu unaufahamu uchungu wa jana ulikuwa una mke una pesa una kazi nzuri unaamka ukijua ratiba ya kesho kuwa utakula , utavaa nini ghafla unakuja kushtuka huna chochote wala lolote na kibaya zaidi hata baadhi ya ndugu zangu wameshanitenga juu ya roho mbaya niliowafanyia walipokuwa wakitaka kuja kunitembelea nilibadili sim card dah ama kweli nimeamini dunia ni duara.Kama sababu zako ndio hizo vijijni pasingekuwa na watu. Chakula hamna, hela hamna na Yanga kapigwa..... Ila bado tuna enjoy life. Ukifa huku kwetu tutakuweka kwenye listi ya vifo vya kifala.
Mkuu ni nani wa kumuomba ushauri akanisaidia au akanielewa ?Pole mkuu... Wewe sio wa kwanza kupitia hayo unayopitia. Iwapo kuna sehemu umekwama usisite kuomba msaada kwa watu wa karibu... Usijaribu kuibeba Dunia peke yako... Mwisho wa siku utayashinda hayo yote na utajilaumu kwa nini ulitaka kujiondoa Duniani...
Prof. Sio kwa maisha ya namna hii ninayoishi natambua sina thamani .Huo ndio ukubwa mtoto wa kiume pambana acha kuwaza huo ujinga.
Hapana mkuu Ushirombo hakuna reli wala treni.Treni umejaribu?
Pole,usiogope waombe radhi anza upya,watakuelewa.Mungu akusaidieMkuu ni nani wa kumuomba ushauri akanisaidia au akanielewa ?
NISIKUFICHE ukweli ni kwamba kipindi nina kazi nzuri marafiki zangu walikuwa wenye pesa tu niliishi maisha ya kujitenga na upendo wa utu hapa nilipo nimetengwa na wana ukoo wote kwa kuwa sikutaka mahusiano wala mawasiliano nao katika kipindi kizuri cha maisha yangu.
Dah mkuu nilikuwa nawaza kujitupa kwenye scania kumbe bado nitahisi maumivu tu.Kifo kizuri ni kufa ukiwa umelala (lakini hii hupangi wewe)
Vifo vingine vyote majanga
Inasemekana hata ugongwe na gari uwe kama chapati ubongo utaendelea kufanya kazi kwa sekunde kadhaa hakuna kifo cha moja kwa moja lazima ushuhudie Islael anavyotoa roho and you must suffer to the consequences.