Nifanye nini ili nife kiurahisi bila kuteseka?

Komaa acha mawazo mafupi hayo, unahisi huko uendako ndo kwenye urahisi wa maisha? Converge your mind kuna watu wanaishi maisha magumu bt still wapo happy na maisha yanaendelea.
 
We ni kilema au? Kama una viungo vyote nakushauri rudi kijijini kalime na hutakaa ukafikiri huo ujinga. Pia naona kama akili yako imevurugwa sana jaribu kujichanganya na vijana kwenye mazoezi kuondoa stress.

Mwisho ukishindwa kabisa na kuendelea kuwa na hilo wazo nakushauri bado nenda kawaage wazazi na ndugu zako na wao watakupa ushauri kama ujiue au vipi? Tambua kujiua ni kuleta laana ya yako familia na kuacha mikosi isiyokwisha.

Natambua wewe ni mtu mhimu kwenye familia yako na hakuna ubishi kwa hilo na pia kumbuka sio kila wazo ni jema katika maisha.

Mwisho kabisaaa punguza starehe zisizo za mhimu maana unakili ulifukuzwa kazi na kwa maelezo hayo maanake ulikuwa huweki akiba yoyote. So ukipata kibarua basi heshimu mshahara wako na punguza starehe za kijinga.
 
Tubu dhambi zote halafu umuombe Mungu akujaalie siku ya kufa, ufe kifo chema.
 

Adolf Hitler alimuliza daktari wake njia rahisi ya kufa alimjibu kujipiga risasi au kunywa hydrogen cynide, kimya kimya bila maumivu
 
Mkuu usijiue ili kuyakwepa yote Magumu katika dunia hii ya muda mfupi tu.

Huwezi jua huko ndipo kuna maisha magumu na machungu zaidi ya hapa, jipe moyo. Jikaze Mkuu na tuliendeleze Gurudumu.

Mungu ni mwema, katuandalia mauri zaidi. Ukiona umejaribu mara
kadhaa kujiua lakini hujafanikiwa, basi ujue Mungu ana kusudi nawe. Rudisha moyo nyuma, ya dunia yatakwisha kwa wakati muafaka.

Mungu akubariki.
 
Kama sababu zako ndio hizo vijijni pasingekuwa na watu. Chakula hamna, hela hamna na Yanga kapigwa..... Ila bado tuna enjoy life. Ukifa huku kwetu tutakuweka kwenye listi ya vifo vya kifala.
Mkuu unaufahamu uchungu wa jana ulikuwa una mke una pesa una kazi nzuri unaamka ukijua ratiba ya kesho kuwa utakula , utavaa nini ghafla unakuja kushtuka huna chochote wala lolote na kibaya zaidi hata baadhi ya ndugu zangu wameshanitenga juu ya roho mbaya niliowafanyia walipokuwa wakitaka kuja kunitembelea nilibadili sim card dah ama kweli nimeamini dunia ni duara.
 
Mkuu ni nani wa kumuomba ushauri akanisaidia au akanielewa ?
NISIKUFICHE ukweli ni kwamba kipindi nina kazi nzuri marafiki zangu walikuwa wenye pesa tu niliishi maisha ya kujitenga na upendo wa utu hapa nilipo nimetengwa na wana ukoo wote kwa kuwa sikutaka mahusiano wala mawasiliano nao katika kipindi kizuri cha maisha yangu.
 
Wewe ni wa thamani sana na Mungu anakupenda sansana anajua kuingia kwako na kutoka kwako ndio maana unausoma ujumbe huu,jipe moyo yana mwisho,hata usiku uwe mrefu vipi lazima asubuhi ifike,usikae peke yako,jikaze inuka hapo ulipo jichanganye fanya kazi hata ya zege yapo maeneo kuna vibarua kila siku utashangaa hata mchana unapita jioni inafika,mkuu lipo tumaini la kuwa na mafanikio zaidi na zaidi ukimtegemea Mungu,atakuchukua kwa wakati wake,tunakupenda tunatamani uendelee kuwapo hapa tuone michango yako,Mungu akubariki.
 
Pole,usiogope waombe radhi anza upya,watakuelewa.Mungu akusaidie
 
Dah mkuu nilikuwa nawaza kujitupa kwenye scania kumbe bado nitahisi maumivu tu.
 
Pole sana mkuu, hiyo ni roho ya kukata tamaa, kama ugumu wa maisha ni asilimia kubwa ya watanzania sio wewe pekee, kama umefukuzwa kazi wewe sio wa kwanza kufukuzwa, isitoshe mshukuru Mungu kwa hilo maana hujui umeepushiwa kitu gani, swala la kufungwa sidhani kama lina mantic kwani katika michezo kuna kufunga na kufungwa, so inabidi kukubali matokeo, ingekuwa kila anaefungwa anajiua basi hata wachezaji tusingekuwa nao. Cha kukushauri, be strong wewe ni mwanaume, tafuta shughuli yoyote ufanye, usiweke vitu rohoni, mueleze hata dada/kaka/mama/baba, usikae peke yako na mwisho muombe Mungu wako kwa imani akusamehe kwa dhambi unayotaka kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…