Nifanye nini Ili nipate pesa ya kujitegemea mimi mwenyewe?

Nifanye nini Ili nipate pesa ya kujitegemea mimi mwenyewe?

Mj John.
Kiukweli kutoka moyoni Asanteni sana Kwa ushauri wenu najua ninyi SI watoto ndio maana nikaomba ushauri kutoka kwenu

Kuomba ushauri Kuhusu kutafuta pesa sio kwamba nitafeli shule may be Kuna mipango nimeipanga mikubwa kuliko hata watu Wanavyozani lakini changamoto ninazopitia zinanifunza zaidi kuliko elimu ninayoipata shuleni
Kwa maana hiyo basi ninapenda kujifunza kupitia changamoto na ushauri wa waliotangulia mbele ya wakati


Na ninaamini kuwa siku Moja ndoto zangu zitakuwa

Kiukweli kabisa Mungu kanibaliki kipaji Cha ujizi wa sayansi hasa computer and physics

Na kuanza biashara katika umri mdogo sio kosa Wala tamaa kwangu mini nikujifunza na kujitahidi kwenda na wakati uendavyo
Nimejifunza kutoka kwenu kitu Cha msingi sana Asanteni sana Mungu awe
pamoja nasi sote

hakunakosa ninaloogopa hapa duniani kama kumhukumu mtu Kwa akitendacho pasipo kujua sababu yake.
 
MJ JOHN.
Inawezekana sawa nikawa mtoto lakini mkumbuke kuwa hiyo ni namba tu lakini na may be Kuna mtu anaumri mkubwa kunizidi lakini hawezi kufikiri kama ninavyofikili na hii akili niliyonayo naamini nimepewa na Mungu Kwa sababu maalumu duniani


TAKE NOTE.
Fikiri kabla ya kutenda
Tenda baada ya kufikiri
Fanya Kwa hekima na maarifa

Usimhukumu mtu usije ukahukumiwa labda Mimi Mungu ametaka nichukue ushauri kwako leo niufanyie kazi
Labda Mungu anakuandalia mwajiri wa watoto wako

So think for careful !!!!
 
Greet thinker wa jf wa sikuhizi wengi vilaza hivi kweli mmeshindwa namna ya kumshauri dogo namna ya kupata kipato mtandaoni Naona wengi mmekazana soma soma Kwani kuna sehemu ameandika anataka kuacha shule ili atafute pesa au wazazi hawana pesa ya kumsomesha . Du
Kweli JF haina tofauti na FACEBOOK now days [emoji849]
Sasa si kila Mtu anamshauri kwa njia anayoijua na inayompatia pesa,Sasa Kama Mtu ka win life kupitia elimu yake unategemea aje na mawazo ya ki mission town Kama yako!!??
 
Mchongo Mdgog huu Apa PTCTZ ni Mfumo wa Website ambao unawezesha Watumiaji wa Internet kuweza Kupata Kiasi cha Pesa Kwa Ku click Matangazo Huanzwa Kulipwa 50-100 Kwa Kila tangazo

 
Back
Top Bottom