Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua

Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua

Hapo huezi kumwambia Dr akushone AF abakize km ya mtoto kweli!?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] natania tu ...Mwenyewe nasubiria baby mama wangu siku zifike bt na yeye Jana kapigwa ultra sound kaambiwa mtoto ni mkubwa (hapo nahc atahitaji operation)ingawa Dr hakusema moja kwa moja..na hpo ndo 2 weeks itimie miez 9
Inawezekana kupunguza kdg mara nyingi inafanyika kwa mama aliyekataa kushonwa baada ya kuchanika au alichanika akashonwa akapona vby akawa na uwazi Mkubwa anarekebishwa na kuwa vzr baada ya kumaliza Arobaini!inaitwa Vagina Colporrhaphy NB Madaktari na wapewe heshima zao kwa kudumisha ndoa!
 
Usijali Vero...hatutofautiani sana ila yangu bado ndogo na ninatarajia kujifungua kwa upasuaji ikiambatana na kufungwa kizazi...MUNGU na atusaidie.
 
Usijali Vero...hatutofautiani sana ila yangu bado ndogo na ninatarajia kujifungua kwa upasuaji ikiambatana na kufungwa kizazi...MUNGU na atusaidie.
pole sna mpz kwann ufungwe uzazi jaman
 
Nina miaka 36 sasa na Nina watoto wawili wa kwanza ana miaka 18 na wa pili ana miaka 10,nimeonelea nipumzike tuu kwani umri umesha enda
Miaka yote hiyo ulikuwa unafurahia mpododo halaf umeamua kuongezea wa dawa uzeeni...lazima atakuwa baba mpya huyo
 
Miaka yote hiyo ulikuwa unafurahia mpododo halaf umeamua kuongezea wa dawa uzeeni...lazima atakuwa baba mpya huyo
Asikuambie MTU kupanga uzazi raha...unafurahia ndoa...Mume ni yule yule...
 
Habari zenu wapendwa.

Bila kupoteza muda naomba ushauri wenu humu ndani.

Tatizo nililo nalo wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza niliumwa uchungu mkali sna kwa muda mrefu kama siku 2 hivi bila kupumzika wala kukata mpaka nikawekewa drip ya uchungu, na baadae njia ikafunguka nikajifungua vizuri tu, ila sasa mtoto alitoka akiwa na kilo 4 na alinichana sana kiasi kwamba nilishonwa nyuzi za kutosha, halafu ndio mimba Yangu ya kwanza.

1) Sasa hivi ni mjamzito tena, naomba ushauri nifanye nn ili nisiumwe kwa muda mrefu na uchungu.

2)Nifanye nini ili nisichanike wakati wa kujifungua.

Nawasilisha..
Mkuu pole sana but sometimes kuchanika kunaweza kusababishwa ukubwa wa mtoto. Ila kwa sasa trh yako ya makadirio ya kujifungua ikifika usichelewe kufika hospital ili lolote litakapojitokeza intervention ifanyike faster. Mara nyingi delay kwa wajawazito kufika vituo vya afya hupelekea complications zambazo huwenda wangeziepuka
 
Ni traditional way.........Punguza vyakula vinavyoweza kunenepesha Mtoto, Osha vidole vyako vizuri then ingiza kwa Bibi kutanua njia anza na vidole viwili, vitatu then vinne fanya hivyo miezi miwili kabla ya kujifungua..........Mjukuu wangu hutachanika tena............na baada ya hapo bibi ataruni na kiburi chake kama mwanzo............
 
Kuchanika wakati mwingine ni maumbile. Kuna watu wanajifungua watoto wa kilo tano hawachaniki kabisa au huchanika kidogo sana. Lakini kuna wengine mtoto wa kilo mbili tu lakini anachanika third-degree
 
Unataka watoto wangapi?? Fanya upasuaji utaona utam wake
 
Back
Top Bottom