Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

Nifanye nini ili niweze kutimiza ndoto yangu ya kuwa muigizaji?

Charongo

New Member
Joined
Mar 1, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
 
Nadhani unge anza kwa kuwa na akaunti za social media, huko unge onyesha kipaji chako.

Uki pata wafuasi angalau 3k, Ina weza kukusaidia kuliko kuja Moja kwa Moja akati hutambuliki.
 
Huo mji utateseka sana kama Huna connection..kwanini usianzie huko ulipo kuonyesha kipaji chako?
 
Zamani kulikuwa na Kaole, sijui siku hizi kuna nini?
 
Nchi kila mtu anataka kuwa msanii 😄
Ukipita kila mahali vijana ,watoto ni kukata mauno tu

Ova
 
Back
Top Bottom