Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee...! Mijusi hasa hawa wa majumbani Wana sumu hatari. Kuna family mjusi alitumbukia ndani ya mboga bila wao kujua,kesho wakaila ile mboga,bahati nzuri mtoto wa form one akawa anafika akawakuta wako hoi,wakawawahisha hospital. Hospital ikabidi kiletwe kile chakula,kukipekua wakakuta mjusi kwa chini.Mijusi ni reptilia hawana noma kabisa na wanasaidia sana kukamata na kuua wadudu wadogo wadogo ambao wewe huwezi kuwaona au kuwadhibiti.
Kwenye majanga kama tetemeko la ardhi n.k mijusi ndio wanatumika kama chakula wanaliwa kama umekwama au umefukiwa chini. Tusiwachukie mijusi wapo poa sana.
wataalam wa EcosystemMijusi ni reptilia hawana noma kabisa na wanasaidia sana kukamata na kuua wadudu wadogo wadogo ambao wewe huwezi kuwaona au kuwadhibiti.
Kwenye majanga kama tetemeko la ardhi n.k mijusi ndio wanatumika kama chakula wanaliwa kama umekwama au umefukiwa chini. Tusiwachukie mijusi wapo poa sana.
Dah! Inasisimua kidogo..Weee...! Mijusi hasa hawa wa majumbani Wana sumu hatari. Kuna family mjusi alitumbukia ndani ya mboga bila wao kujua,kesho wakaila ile mboga,bahati nzuri mtoto wa form one akawa anafika akawakuta wako hoi,wakawawahisha hospital. Hospital ikabidi kiletwe kile chakula,kukipekua wakakuta mjusi kwa chini.
Dawa ya Mbu hawafi kabisa.Piga dawa ya kuulia mbu mara tatu kwa wiki hautaona mjusi
Mambo mengine unaweza onekana mchawi tuTumia matawi ya kisamvu. Weka chini kwenye kona ya chumba. Kila kona unaweza kuweka matawi mawili mpaka matatu. Hakikisha yanaonekana vizuri kutokea juu kwenye kuta anakokuwa mjusi. Unaweza ukaweka na kona za nje pia. [emoji116]View attachment 2196222
1. Matendo ya mtu yako moyoni mwake. Usiangalia nani anasema nini kama dhamira yako ni safi. (Vinginevyo labda uwe mchawi kweli).Mambo mengine unaweza onekana mchawi tu
Je paka huwa wanawala mijusi au mijusi huwaogopa paka?Fuga Paka watakimbia wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wageni wakija, hawatoweka comment yoyote, Ila wataondoka na majibu yao kichwani. Unaweza hisiwa mshirikina kweliMambo mengine unaweza onekana mchawi tu
Paka Wadudu wote wadogo dogo kuanzia Panya mpaka Mijusi ndicho chakula chakeJe paka huwa wanawala mijusi au mijusi huwaogopa paka?
Hao wadudu siwapendi viabaya mnoMijusi ni reptilia hawana noma kabisa na wanasaidia sana kukamata na kuua wadudu wadogo wadogo ambao wewe huwezi kuwaona au kuwadhibiti.
Kwenye majanga kama tetemeko la ardhi n.k mijusi ndio wanatumika kama chakula wanaliwa kama umekwama au umefukiwa chini. Tusiwachukie mijusi wapo poa sana.