Zaiko kapaya
Member
- Sep 5, 2018
- 14
- 7
Habarini wakuu,
Natumaini wote hamjambo! Pole kwako wewe hali yako ambaye haiko vizuri!
Naishi mkoani Mbeya nasimamia Biashara ya Hotel ipo Iyunga, kiufupi usimamizi huu najikuta mpaka nakata tamaa kiasi ambacho nashindwa kupata majibu.
Kiufupi naperform vibaya as a business "Na kwa mnaojua hizi biashara zina a lot of Taxes" sasa wateja nakosa kias ambacho running cost zinakuwa kubwa. naomben mawazo yenu nifanyeje.