Nifanye nini kuongoza vizuri hii biashara?

Zaiko kapaya

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
14
Reaction score
7
Habarini wakuu,

Natumaini wote hamjambo! Pole kwako wewe hali yako ambaye haiko vizuri!

Naishi mkoani Mbeya nasimamia Biashara ya Hotel ipo Iyunga, kiufupi usimamizi huu najikuta mpaka nakata tamaa kiasi ambacho nashindwa kupata majibu.

Kiufupi naperform vibaya as a business "Na kwa mnaojua hizi biashara zina a lot of Taxes" sasa wateja nakosa kias ambacho running cost zinakuwa kubwa. naomben mawazo yenu nifanyeje.
 
Habarini wakuu! natumaini wote hamjambo! pole kwako wewe hali yako ambae haiko vizuri!

Naishi mkoani mbeya nasmamia Biashara ya Hotel ipo iyunga, kiufupi usimamizi huu najikuta mpaka nakata tamaa kiasi ambacho nashindwa kupata majibu, kiufupi naperform vibaya as a business "na kwa mnaojua hizi biashara zina a lot of Taxes" sasa wateja nakosa kias ambacho running cost zinakuwa kubwa. naomben mawazo yenu nifanyeje
Biashara yako au unasimamia biashara ya mtu??
 
Biashara za baa na hotel zinaenda kwa promo.

Ukiachana na promo kwa upande wa hotel pia usafi/hygiene huwa inazingatiwa.

Je vyumba vyenu na mazingira ya hotel yenu ni masafi kiasi gani ukilinganisha na wapinzani wenu.
Kingine je huwa mnafanya ukarabati wa mara kwa mara kwa hotel yenu ili mteja mgeni akija aione kama hotel mpya au tangu ijengwe miaka 10 au 20 iliyopita iko hivyo hivyo.

Kitu kingine je mna huduma ya chakula kizuri ambacho mtu wa hadhi yoyote anaweza kula na akaridhika au ndio mteja akiagiza hadi mkatafute sehemu nyingine then chakula kiwasili baada ya masaa 2.

Ukijibu haya maswali nitakupa ushauri mwingine jinsi ya kufanya.
 
Habarini wakuu,

Natumaini wote hamjambo! Pole kwako wewe hali yako ambaye haiko vizuri!

Naishi mkoani Mbeya nasimamia Biashara ya Hotel ipo Iyunga, kiufupi usimamizi huu najikuta mpaka nakata tamaa kiasi ambacho nashindwa kupata majibu.

Kiufupi naperform vibaya as a business "Na kwa mnaojua hizi biashara zina a lot of Taxes" sasa wateja nakosa kias ambacho running cost zinakuwa kubwa. naomben mawazo yenu nifanyeje.
Pole kwa changamoto kaka. Eneo la biashara limekaaje?usafi?sifa ya eneo.
Biashara ya hotel kikubwa ni privacy na usalama. Mteja anatakiwa kujisikia huru muda wote.
Matangazo sio jambo la muhimu sana inategemea na services zenu tu.word of mouth itafanya kazi yake.
Kwa kifupi
 
Biashara za baa na hotel zinaenda kwa promo.

Ukiachana na promo kwa upande wa hotel pia usafi/hygiene huwa inazingatiwa.

Je vyumba vyenu na mazingira ya hotel yenu ni masafi kiasi gani ukilinganisha na wapinzani wenu.
Kingine je huwa mnafanya ukarabati wa mara kwa mara kwa hotel yenu ili mteja mgeni akija aione kama hotel mpya au tangu ijengwe miaka 10 au 20 iliyopita iko hivyo hivyo.

Kitu kingine je mna huduma ya chakula kizuri ambacho mtu wa hadhi yoyote anaweza kula na akaridhika au ndio mteja akiagiza hadi mkatafute sehemu nyingine then chakula kiwasili baada ya masaa 2.

Ukijibu haya maswali nitakupa ushauri mwingine jinsi ya kufanya.
Je wahudumu wako wana kauli njema..

Nasubiri pia majibu yenu.
 
Mkuu, mbeya - iyunga sehemu gani? Bei ya room zako ni sh ngapi? Huko napafahamu kiasi chake naweza kukupa mwanga
 
Back
Top Bottom