Nifanye nini kuzuia maji yasipenye na kulowanisha ukuta wa ndani?

Pole sana

Refusha hilo bati litengeneze kama canopy ....

Ushauri

Mnapotaka kuezeka tafuteni fundi kwanza wa kukuelezea urefu na upana sahihi wa nyumba yako,utakao kusaidi kuchagua bati sahihi (gauge) za kuezekea
 
ndyo mkuu
 
Wakuu nisiwachoshe, kama picha inavoonyesha hapa, nimejenga mfumo huu wa nyumba.

Nifanye nini kuzuia maji kupenya ukutani na kuolowesha hadi ukuta wa ndani? kama kuna nyenzo naweza kutumia kutatua hili basi naombeni msaada.

View attachment 2451842

Ina maana ukishindwa hata kununua bado udownloding ramani google mkuu!?[emoji276]hiki ulichojenga ni nini sasa
 
Jana nilikuwa naongea na mtu akasema mijengo ya aina hii inatakiwa uweke gezi 28 siyo 30 zile zilizoeleka uswazi inavuja.
 
Wakuu nisiwachoshe, kama picha inavoonyesha hapa, nimejenga mfumo huu wa nyumba.

Nifanye nini kuzuia maji kupenya ukutani na kuolowesha hadi ukuta wa ndani? kama kuna nyenzo naweza kutumia kutatua hili basi naombeni msaada.

View attachment 2451842
Nyumba za contemporary huwa zinamaliziwa na kaukuta ka zege kuzunguka nyumba nzima, tofali zinafyoza sana maji na zinachelewa kukauka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…