Nifanye nini mtu niliyemsaidia kupata mchongo anataka kunipindua kwenye kitengo changu?

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,225
Reaction score
5,055
Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tangu akiwa waiiter mpaka Sasa anataka kunipindua kitengo changu cha u-chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!

Kuniharibia kazi, uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa hana ramani anakunywa banana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro, nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars.

Sitaki kutaja ni kampuni gani wala wapi!
 
Mimi imenitokea Mara mbili, kwanza ilikua msaidizi wangu wa kike. Yule msambaa Malaya Ni shetani, anyway karma is real. Baada ya Mimi kuondoka ndani ya miezi mitatu walimfuta kazi kwa kesi ya wizi Tena wa laki mbili tu.
I am sure ningekuwepo asinge kwenda front kuiba laki mbili.
 
Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Adui unayemuweza usimwachie Mungu na akuanzaye mmalize kabla hajakumaliza wewe..! Na ukishindwa kabisa kusamehe LIPA KISASI
Nitakupa connection ukihitaji
 
Mimi imenitokea Mara mbili, kwanza ilikua msaidizi wangu wa kike. Yule msambaa Malaya Ni shetani, anyway karma is real. Baada ya Mimi kuondoka ndani ya miezi mitatu walimfuta kazi kwa kesi ya wizi Tena wa laki mbili tu.
I am sure ningekuwepo asinge kwenda front kuiba laki mbili.
Yule msambaa Malaya Ni shetani, anyway karma is real.[emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji3]
 
Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Natural justice ni listen both sides before judgement.

Swali la kwanza unajuwa vizuri lugha za kigeni hasa Kingereza?

Mimi ni mdau wa eneo hilo nimefanyakazi muda mrefu na wazungu, huwa ukiwahudumia vizuri huwa hakunaga fitina ya mswahili inaweza penya.
 
Mtu niliyemuamini

[emoji116]
Wema wako umekuponza Sasa machungu ya Dunia unayaona

Usirudie kosa
 
Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Riziki mafungu saba, itakuwa iliandikwa hivyo. Pigana endelea kupambana, mungu atakulipa ulivyomsaidia
 
Fanya yako hata akiamua kukuharibia, hatofanikiwa ila kama pia kuna mahali nawe unayumba jirekebishe.
 
Uchawi wa gundu la kinyesi ( kimavi) .wahaya wanaujua sana huu uchawi..hili gundu liliniendesha wakuu...ila useme mi mwenyewe mafia nilipambana nalo ilikuwa nipotee wakuu..
 
Asee
Natural justice ni listen both sides before judgement.

Swali la kwanza unajuwa vizuri lugha za kigeni hasa Kingereza?

Mimi ni mdau wa eneo hilo nimefanyakazi muda mrefu na wazungu, huwa ukiwahudumia vizuri huwa hakunaga fitina ya mswahili inaweza penya.
Naongea kijerumani kingereza usipime!
Ila ngoja niendelee kusoma maoni hapa!
 
Back
Top Bottom