machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Kweli mkuu ngoja nivunge tu na nifute huu uziBro huu mwezi kuna rekodi nyingi za mauaji..
Relax kwanza. .. huyo hana shida ni mwanadamu tu
Ningekua hata Nina uwezo wa kuroga ningemroga awe popomaTafuta uwezekano umroge akajichanganye kwa boss huko ndio atalia na kusaga meno.
Pole man release.. njoo pm if possibleKweli mkuu ngoja nivunge tu na nifute huu uzi
Adui unayemuweza usimwachie Mungu na akuanzaye mmalize kabla hajakumaliza wewe..! Na ukishindwa kabisa kusamehe LIPA KISASIMtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Yule msambaa Malaya Ni shetani, anyway karma is real.[emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji3]Mimi imenitokea Mara mbili, kwanza ilikua msaidizi wangu wa kike. Yule msambaa Malaya Ni shetani, anyway karma is real. Baada ya Mimi kuondoka ndani ya miezi mitatu walimfuta kazi kwa kesi ya wizi Tena wa laki mbili tu.
I am sure ningekuwepo asinge kwenda front kuiba laki mbili.
Atafute uchawi wa banyanyi (chonganishi)Tafuta uwezekano umroge akajichanganye kwa boss huko ndio atalia na kusaga meno.
Natural justice ni listen both sides before judgement.Mtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Mtu niliyemuaminiMtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Riziki mafungu saba, itakuwa iliandikwa hivyo. Pigana endelea kupambana, mungu atakulipa ulivyomsaidiaMtu niliyemuamini nikampa nafasi kwenye kazi za kitalii ninayofanya tang akiwa waiiter mpaka Sasa
anataka kunipindua kitengo changu Cha u chief guide ikiwezekana hata kunimaliza kabisa!
Kuniharibia kazi,uchonganishi na mabosi isitoshe Mimi nilimkuta kitaa Hana ramani anakunywa mabanana akaomba kazi nikampa ya kubeba mizigo Kilimanjaro,nikampa kitengo akawa waiter Leo hii najuta kumuonesha dollars
Sitaki kutaja Ni kampuni gani Wala wapi!
Naongea kijerumani kingereza usipime!Natural justice ni listen both sides before judgement.
Swali la kwanza unajuwa vizuri lugha za kigeni hasa Kingereza?
Mimi ni mdau wa eneo hilo nimefanyakazi muda mrefu na wazungu, huwa ukiwahudumia vizuri huwa hakunaga fitina ya mswahili inaweza penya.