Nifanye nini na huyu mzee jamani?

Nifanye nini na huyu mzee jamani?

Kuwa mwangalifu na aina hii ya watu, for your safety mrejeshe kwao mana huwezi kujua nini madhumuni yake ya kuishi kwao.
 
Kwanini usimshauri naye agombee ubunge kama mwenzake Prof Tall Water :nerd::nerd:?
 
hapo ndugu yangu elia inabidi ufuate ushauri wa kindimbajuu kwamba sema nae usiogope maana tatizo la sie watz inapokuja suala la kumwambia ukweli mtu kwamba humtaki au ana kasoro flani ktk mfumo wa maisha inakuwa shida ndio maana imeathiri mpaka kwenye sehemu zetu za kazi including bungeni. Wewe mweleze kama ni mtu ambae hajavuka 25 years au 30 years kama amemaliza chuo at least maana extended family haziepukiki sometimes ila kiukweli mweleze maana watu wengine wazima wamezidi hata mshipa wa aibu hawana. Watu kama hao hutakiwi kumpa nafasi ya kumzoea sana nikiwa na maana akifika kwako unamtolea na shuka mpya badala yake kama hajaja na shuka unampotezea
na ndio sababu niliwakimbia hawa wandugu ,watu wakigm ndio mwaisho sijui waliambiwa dar kuna maisha mazuri ,nikahamia mbali sana sana na mjini hapa na hakuna daladala sijawaona ng'o watu wanajazana kula tuuu hawana masaada wanatoka huyu anaingia huyu du kazi kweli kweli
 
kitendo cha kusikia tu huyo mzee ni mchawi, nsingepata usingizi tena kwenye nyumba hiyo...
 
Funga safari wewe na mkeo/mumeo na yeye wote nendeni kijijini,
ukifika unaachana naye nyie mnageuza siku hiyo hiyo au kesho alfajiri.
 
Elia pole sana aisee mchawi tena???

ndio hayo my dada... ningekuwa leo naenda kufanyia kazi maushauri niliyopewa kunajamaa yangu nitakuwanae kaniambia nimsaidie viroba kadhaa
 
na ndio sababu niliwakimbia hawa wandugu ,watu wakigm ndio mwaisho sijui waliambiwa dar kuna maisha mazuri ,nikahamia mbali sana sana na mjini hapa na hakuna daladala sijawaona ng'o watu wanajazana kula tuuu hawana masaada wanatoka huyu anaingia huyu du kazi kweli kweli

Hiyo strategy nzuri nivea maana kuna watu wanaongoza kwa kusifia maisha ya wenzao kwamba ni mazuri, kama hujatembelea ndugu wakati ukiwa mwanafunzi ukishafika utu uzima unatakiwa upumzike kwani ni muda wa kutafuta ela. Nauli zinapanda lakini kuna watu kwa kusafiri safari zisizo na tija wanaongoza
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hapo silioni,mwambie kwa upole kwamba kipato chako ni kidogo kwa hiyo kwa jinsi maisha ya Bongo yalivyo huna uwezo wa kumhudumia,kwa hiyo una shauri arudi kwa shemeji yako au arudi nyumbani.Akidai nauli mpe.Usikubali kuteseka kwa ajili ya ujinga wa mtu mwingine. Chukua hatua.
Alikuja kusalimia kwa shemeji yangu akapenda kunisalimia na mimi. (mambo ya extended family na kujuana)
Kwangu niliambiwa ataondoka baada ya siku mbili lakini ikawa wiki mara mwezi.
Akarudi kwa shemeji ikiwa ni safari ya kurudi mkoa nilimuaga na kumpa pocket money.
Alipofika kwa shemeji hakuondoka kama alivyoaga badala yake nikapigiwa simu tumchangie hela ili imsaidie maisha yake atapoondoka(mtaji) nilituma kwa M-pesa.

Miezi miwili ikapita kumbe bado yupo kwa shemeji hakuondoka…
Sasa wiki iliyopita amekuja nyumbani kwangu haniambii story yoyote yaani amefika. Nilichukia sana maana alikuja bila taarifa narudi kazini namkuta amejaa sebuleni sikupendezwa na ujio wake
Nimejaribu kuchunguza mkoani kwa nini huyu mzee hataki kurudi kwao.
Jibu nililopata ndio lililo niogopesha nasikia hawamtaki kijijini kwake sababu za kichawi yaani ni mwanga sana nimeambiwa yeye na mwenzake walifukuzwa na sungusungu
 
Mtafutie shamba awe analima lima huko Mkuranga
 
ndio hayo my dada... ningekuwa leo naenda kufanyia kazi maushauri niliyopewa kunajamaa yangu nitakuwanae kaniambia nimsaidie viroba kadhaa

Pole uje utuambie umefanyia maushari ya wana JF yale mapoa mengine kamata tupa kule kama hayakufai
 
Back
Top Bottom