na ndio sababu niliwakimbia hawa wandugu ,watu wakigm ndio mwaisho sijui waliambiwa dar kuna maisha mazuri ,nikahamia mbali sana sana na mjini hapa na hakuna daladala sijawaona ng'o watu wanajazana kula tuuu hawana masaada wanatoka huyu anaingia huyu du kazi kweli kwelihapo ndugu yangu elia inabidi ufuate ushauri wa kindimbajuu kwamba sema nae usiogope maana tatizo la sie watz inapokuja suala la kumwambia ukweli mtu kwamba humtaki au ana kasoro flani ktk mfumo wa maisha inakuwa shida ndio maana imeathiri mpaka kwenye sehemu zetu za kazi including bungeni. Wewe mweleze kama ni mtu ambae hajavuka 25 years au 30 years kama amemaliza chuo at least maana extended family haziepukiki sometimes ila kiukweli mweleze maana watu wengine wazima wamezidi hata mshipa wa aibu hawana. Watu kama hao hutakiwi kumpa nafasi ya kumzoea sana nikiwa na maana akifika kwako unamtolea na shuka mpya badala yake kama hajaja na shuka unampotezea
Yaani ndo majina ya wahusika yanatokeza!
na ndio sababu niliwakimbia hawa wandugu ,watu wakigm ndio mwaisho sijui waliambiwa dar kuna maisha mazuri ,nikahamia mbali sana sana na mjini hapa na hakuna daladala sijawaona ng'o watu wanajazana kula tuuu hawana masaada wanatoka huyu anaingia huyu du kazi kweli kweli
Alikuja kusalimia kwa shemeji yangu akapenda kunisalimia na mimi. (mambo ya extended family na kujuana)
Kwangu niliambiwa ataondoka baada ya siku mbili lakini ikawa wiki mara mwezi.
Akarudi kwa shemeji ikiwa ni safari ya kurudi mkoa nilimuaga na kumpa pocket money.
Alipofika kwa shemeji hakuondoka kama alivyoaga badala yake nikapigiwa simu tumchangie hela ili imsaidie maisha yake atapoondoka(mtaji) nilituma kwa M-pesa.
Miezi miwili ikapita kumbe bado yupo kwa shemeji hakuondoka
Sasa wiki iliyopita amekuja nyumbani kwangu haniambii story yoyote yaani amefika. Nilichukia sana maana alikuja bila taarifa narudi kazini namkuta amejaa sebuleni sikupendezwa na ujio wake
Nimejaribu kuchunguza mkoani kwa nini huyu mzee hataki kurudi kwao.
Jibu nililopata ndio lililo niogopesha nasikia hawamtaki kijijini kwake sababu za kichawi yaani ni mwanga sana nimeambiwa yeye na mwenzake walifukuzwa na sungusungu
Sasa hzo hela uliyompa kapeleka wapi?
ndio hayo my dada... ningekuwa leo naenda kufanyia kazi maushauri niliyopewa kunajamaa yangu nitakuwanae kaniambia nimsaidie viroba kadhaa