Nifanye nini na huyu mzee jamani?

Jamani watu wengine hawana hata aibu,pole mwaya!
 
mwambie unaenda kijijini so muende wote mkifika kule ndo ivo tena atabaki tu naturally
 
mpangie ratiba yakuongoza ibada ya jioni leo( night glory)... asome biblia....aimbe mapambio...na kusali iliku prove kuwa ni mchawi au la. then rudi hapa utupe majibu
option nyingine; piga maombi ya nguvu hapo kwako using Jesus name, au alika mtumishi wa Bwana apige maombi ya nguvu...
jipe moyo then mwambie direct pasibo ona aibu yeyote
 
mmmh, akuroge mna bifu?
Kwani hana watoto, trust me hurogeki kama hujihusishi na uchawi.

Kongosho ningependa kujua zaidi hapo kwa red, unaweza kufafanua vizuri?
 
Elia pole sana, nami pia ni victim wa hii kitu, yaani we acha tu.....
 
Hehhehehehehe kumbe ni vile vya nyamwicho tena.. Yani nakwambia hivi mtimue mara moja vinginevyo unatafuta balaa. Vikao vyote kwa taarifa yako vinafanyika sebuleni kwako. NA wenyeji wameshamfanyia sherehe sasa kafara itatoka kwako hapo hapo. Tutasikia msiba very soon.
 

je wakija ndugu au mama wa mkeo ambao yeye hakuwaaambia kwamba hapendi waje au anakimbelembele cha kukaribisha utafanyaje?????
 
Kuna shemeji yangu anawaweza sana watu kama hao, anarudi na tiketi jioni. anamwambia ajiandae kesho anampeleka stand
 
Mtimue usimuogope, kama ni msaada ushampa wa kutosha na isitoshe ni mzee wa kucheza mapehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…