Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Salamu kwenu, nilianza kutembea na dada wa kazi nilipokuwa darasa la sita, 2002 niliona raha sana tangu hapo nikawa naenda chumbani kwake kila siku usiku, alikuwa amenizidi sana umri ila alinikosha sana na mpaka leo japo aliolewa ila akija kwangu huwa tunazini nae.
Baada ya kuingia sekondari nilizini na wanawake zaidi ya 10 o level na wanawake zaidi ya 20 advance. Nilivyoenda chuo ndo sijui hata idadi na nilikuwa mpole sana na msikivu kwa wadada hivyo nilikuwa silent killer kwao maana nilitembea na marafiki zao pia.
Baada ya kuajiriwa na kuanza maisha ya kujitegemea jijini Tanga nimezini na wanawake wengi mno si wanafunzi, si wafanya kazi na wenye mvuto, kwasasa nimehamia karagwe huku nako nazini sana.
Ni nini nifanye ili niache? Nikiona mdada mweusi mwenye kimini kilicho tait(vile vya kuvutika) macho hunitoka huku wapo wengi sana sijui nifanye nini niache.