Nifanye nini niache umalaya?

Ni kazi sana kuacha tabia ambayo huitaki wakati imekufurahisha kwa muda mrefu.

1.Jizue kwenda mahali ambapo unawapatw wengi. Pita mbali.

2. Kila siku inayopita na hujashawishika ifurahie. Siku utakayoanguka tena, tafuta sababu.
3. Kama unaamini Mungu, jikumbushe maneno yanayokataza.

Kila la heri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan mkuu, hivi nawe viungo vyako vya uzazi unaviita sehem zako za siri au??[emoji57] [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Mkuu pole sana. Nami nilikua nina tabia hiyo lakini nashukuru Mungu alinisaidia nikaachana nayo. Kwanza jaribu kujihusisha na vitu ambavyo vitakufanya uwe busy, kama vile michezo na gym. Lakin pia epuka vijiwe au maeneo ya vilevi kama baa nk. Lakini kubwa muombe Mungu, jisomee neno la Mungu. Ukiwa serious si tu utaacha uzinzi bali utachukia kuzini.

Barikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tubu na mrudie Mungu wako hilo ni pepo la umalaya

Mtu asiye kwenye ndoa afanya umalaya, mwenye ndoa afanya uzinzi, mrudie Mungu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya juu chini ufumaniwe kwa mke wa mwanajeshi, au mpatie mimba mtoto wa shule....! Huenda ikawa mwisho wa kuzini kwako.
 
Habari za kayanga murushaka na kaisho? Au upo karagwe ipi? Anyway ukitaka kuacha okoka Yesu anakupenda atakubadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu jikabidhi nafsi na roho yako kwa mungu ndo utaweza kuzishinda tamaa za mwili ila hivi hivi ni ishu maana wakina monica siku izi wamejipanga vizuri #wapo kazini yani wamekamilika kila idara kuanzia marketing & sales etc
 
Kumcha Mungu na kutii amri zake ndio haswaa suluhisho..

Lakini, Tabia uliyonayo ina akisi tabia za wanaume wengi sana wa Kitanzania,.
Ila Tumetofautiana kwenye ujasiri , vipato, uhuru, genye na vipaumbele vya starehe..

Mm nakushaur usifanye ngono kama kipaumbele chako pekee kwenye starehe..

Tafuta hobbies nyingne, kuwa busy, ignore some women, maana huwez lala nao wote, na hawaishi, Mungu akikupa uzima utatembeza Pumbu had ukiwa na miaka 70. So why those hurry?.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo utakapojua kuwa zinaa haina maana,pamoja na wanawake wote hao uliotembea nao,lakini bado hujatosheka na unaendelea kuifanya,umeshawahi kujiuliza ni nini hasa unachokitafuta?au katika wote hao uliotembea nao ni yupi alikuwa ni bora kuliko hao wote labda angefaa kuolewa na wewe?na kama ndio alikuwa bora kwanini hukumuoa?hautaacha mpaka uamue kuacha,ni dhambi pia ni hatari kwa uhai wako,kimwili na kiroho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…