Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

Nifanye nini nimsahau mtu niliyekuwa navutiwa naye kimapenzi ila sikufanikiwa kuwa naye?

Hujavuka miaka 30 huna gari
Itakuwa pia kama husomi una Kikazi kipato chini ya laki 5
Unakaa chumba sebule etc in short huna maajabu wee ni basic nigga..so wanavyokuambia wadau tafuta Hela they mean it tafuta Hela mpuuzi wewe...sio Hela unavyoweza kula na kubadilisha boxer..Hela ya mpaka mwanamke akakumiss ...usisumbuke wanawake za watu waliotulia na malengo na watu wao ..umri huo ukimuangalia huyo manz alivyotulia Kwa akili zako yupo single..Kuna mwenzako kapendwa na anapewa mda wake ..so tuliza jasho Hilo peleka Kwa wachaambia upupu wenzio...
(Nakerekaga mijitu inasumbua madem zetu waliotulia,,,na mshukuru Mungu tunawaamini na kuwapa nafasi wawapotezee kiustaarabu lasivyo nikikuta ukenge wenu kwenye Simu yake moto mnao..na navyopenda ligi nakukazia dada Yako au shangazi Yako )sisi ndo wataalam..tcra oyeee
 
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19.

Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea nae.

Mawasiliano yake muda mwingine yamekua ya kusuasua anaweza kujibu meseji na wakati mwingine simu hapokei ,unawezaje kumsahau mtu kama huyu?.

Na wakati mwingine unaweza unaamua kabisa kumsahau na kujisemea huyu sita mpigia tena simu,lakini ikipita wiki unaanza mkumbuka na kumpigia tena.

Ni namna gani unaweza kuacha kumkumbuka mtu wa namna hii na kuachananae kabisa bila kumtafuta tena?

Ugoni unakuita. Jiandae na madhira yake.
 
Anasahaulika huyo mdgo wang,muone kama mbuzi au bata mzinga soon am telling you , mindset unampa value for nothing ,
 
Fahamu shida yake kubwa kwa sasa ni ipi?
Jaribu kumsaidia hiyo shida bila ku force mapenzi...mpe nafasi aone unavyomjali...

Halafu kaa pembeni muache Aku miss kwanza..
This man is really GENIUS 🔥
 
Futa
1. Picha zake
2. Chatting zenu
3. Namba yake
4. Mblock kote

Afu acha kujikuta Alejandro wadada wote Hawa mtaaan akusumbue mtu mmoja
 
fanya ivi mblock kote whatsap, fb, insta , tafut pesa kama uko poa tafuta demu mkali ila hawa mdemu weusi wakikuacha kila ukiona ukuta wa jiko unawakumbuka anyway jipe thami

watu tumepiti huko sasa demu unamuona kwaida tu
 
Back
Top Bottom