Nifanye nini niongeze kipato chagu

Usikimbilie kupanga. Tulia hapo. Na ujifunze kuweka akiba.
Kama hauna cha kusaidia ndugu. ACHA USISAIDIE.
 
Mwanza mkuu
Dah ujue kujiajili niraha sana Ndugu yangu vutia picha ulipofanya biashara ya CD na viatu ndani yamiez 6 uliweza kukuza mtaji vzr japo kuwa ulikuwa unafungua sa12 mpaka sa5 je endapo ingekuwa unaanzia asubuh nadhani ungekuwa vzr, ushaur wangu kwanza kabisa usijidharau nakujiona kuwa si lolote si chochote mbele yabosi wako ila jipe thamani wewe mwenyewe najiamini, mimi nachoamini dunian tunakula ili tuishi ila atuishi ili tule so chakufanya angalia hiyo kazi yako je mshahara unaoupata unaishia2 kula au unakuwezesha nakufanya mambo mengine au kuweka akiba! Jibu kama niapana basi anza kufikiria kuachana na hiyo kazi maana hiyo kazi itakuwa haina future yambele juu yako
 
Asante kwa ushauri mzuri mkuu nitajitaidi kufanyia kazi
 
Kwa kweli hii kazi siyo ya mafanikio ni pesa ya kula na kujikimu matatizo madogo tu na kuisha kujiajiri ni jambo zuri ila sasa siwezi kutoka kwa boss wangu sina chumba sina mchogo niende tu nitapotea kabisa
 
Njoo tuyajenge
 
Upo sawa ila vipi wazo labiashara unalo nataarifa kamili yabiashara unayoitaka kufanya unayo?
 
Upo sawa ila vipi wazo labiashara unalo nataarifa kamili yabiashara unayoitaka kufanya unayo?
Ni nayo mawazo mengi sana ya biashara na jinsi kukuza mtaji ila tatizo pesa mkuu kwa mfano unaweza kufanya biashara yeyote kwa siku ukiwa una uhakika wa kupata faida ya 15 kwaiyo faida unaweza kufanya mambo makubwa sana paka watu wakashangaa mawazo ninayo ila sina rasimali pesa ili niweze kufanya kazi ayo mawazo
 
Ni idea gan ulizonazo mkuu, pengine twaweza kuungana coz na mm ni fighter
 
Ni idea gan ulizonazo mkuu, pengine twaweza kuungana coz na mm ni fighter
Mkuu idea ni nyingi mkuu ukiingia tu jukwaa la ujasirimali na biashara kuna idea nyingi sana jinsi ya kutoka ila uwe na pesa mkuu mm hapa naomba ushauri kwasababu nimekosa pesa
 
Mkuu idea ni nyingi mkuu ukiingia tu jukwaa la ujasirimali na biashara kuna idea nyingi sana jinsi ya kutoka ila uwe na pesa mkuu mm hapa naomba ushauri kwasababu nimekosa pesa
Nawezaje kujiunga na hilo jukwaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…