Nifanye nini niongeze kipato chagu

Nifanye nini niongeze kipato chagu

Usikimbilie kupanga. Tulia hapo. Na ujifunze kuweka akiba.
Kama hauna cha kusaidia ndugu. ACHA USISAIDIE.
 
Mwanza mkuu
Dah ujue kujiajili niraha sana Ndugu yangu vutia picha ulipofanya biashara ya CD na viatu ndani yamiez 6 uliweza kukuza mtaji vzr japo kuwa ulikuwa unafungua sa12 mpaka sa5 je endapo ingekuwa unaanzia asubuh nadhani ungekuwa vzr, ushaur wangu kwanza kabisa usijidharau nakujiona kuwa si lolote si chochote mbele yabosi wako ila jipe thamani wewe mwenyewe najiamini, mimi nachoamini dunian tunakula ili tuishi ila atuishi ili tule so chakufanya angalia hiyo kazi yako je mshahara unaoupata unaishia2 kula au unakuwezesha nakufanya mambo mengine au kuweka akiba! Jibu kama niapana basi anza kufikiria kuachana na hiyo kazi maana hiyo kazi itakuwa haina future yambele juu yako
 
Kwanza kabisa Anza kusave Pesa ya kodi Mfn kwa mwez 20000 au ikapungua chini ya hapo itakuwa vyema kwa kuanza sio mbaya. Ukipata kodi ya miezi sita Tafuta chumba.

Endelea kukaa kwa Bosi wako usiondoke, Huku unachumba chako Anza kusave Pesa za godoro kwanza .

Ukishapata godoro lako

Anza kusave Pesa ya biashara kidogo kidogo unayoweza kufanya mpk mtaji ukapofikia level unayohtaji kumbuka hapo kuna kodi inakusubir kila Baada ya miez kadhaa unatakiwa uwe na nidhamu ya Pesa ya Hali ya juu.

Mwisho ukubali kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi hapo Ili biashara utakayoanzisha upate kuiendesha kwa ukaribu

Ukitoka kwa Bosi wako hapo tayar unachumba chako na Pesa ya mtaji wako wa biashara

Nimejaribu kukushaur nakutaia mihangaiko mema
Asante kwa ushauri mzuri mkuu nitajitaidi kufanyia kazi
 
Kilimo isiwe sehem ya wewe kukimbilia baada ya KUKATA TAMAA kifanye kilimo kama mpango kipaombele baada ya mengine kuwa magum amini kuwa kilimo ni kizuri sana ukiandaa vyema mawazo ya utekelezaji pesa isiwe kikwazo kiasi hicho na muhim zaidi umesema unayo ardhi aisee usipoteze mda kaandae maisha mkuu
 
Dah ujue kujiajili niraha sana Ndugu yangu vutia picha ulipofanya biashara ya CD na viatu ndani yamiez 6 uliweza kukuza mtaji vzr japo kuwa ulikuwa unafungua sa12 mpaka sa5 je endapo ingekuwa unaanzia asubuh nadhani ungekuwa vzr, ushaur wangu kwanza kabisa usijidharau nakujiona kuwa si lolote si chochote mbele yabosi wako ila jipe thamani wewe mwenyewe najiamini, mimi nachoamini dunian tunakula ili tuishi ila atuishi ili tule so chakufanya angalia hiyo kazi yako je mshahara unaoupata unaishia2 kula au unakuwezesha nakufanya mambo mengine au kuweka akiba! Jibu kama niapana basi anza kufikiria kuachana na hiyo kazi maana hiyo kazi itakuwa haina future yambele juu yako
Kwa kweli hii kazi siyo ya mafanikio ni pesa ya kula na kujikimu matatizo madogo tu na kuisha kujiajiri ni jambo zuri ila sasa siwezi kutoka kwa boss wangu sina chumba sina mchogo niende tu nitapotea kabisa
 
Kwanza kabisa Anza kusave Pesa ya kodi Mfn kwa mwez 20000 au ikapungua chini ya hapo itakuwa vyema kwa kuanza sio mbaya. Ukipata kodi ya miezi sita Tafuta chumba.

Endelea kukaa kwa Bosi wako usiondoke, Huku unachumba chako Anza kusave Pesa za godoro kwanza .

Ukishapata godoro lako

Anza kusave Pesa ya biashara kidogo kidogo unayoweza kufanya mpk mtaji ukapofikia level unayohtaji kumbuka hapo kuna kodi inakusubir kila Baada ya miez kadhaa unatakiwa uwe na nidhamu ya Pesa ya Hali ya juu.

Mwisho ukubali kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi hapo Ili biashara utakayoanzisha upate kuiendesha kwa ukaribu

Ukitoka kwa Bosi wako hapo tayar unachumba chako na Pesa ya mtaji wako wa biashara

Nimejaribu kukushaur nakutaia mihangaiko mema
Njoo tuyajenge
 
Kwa kweli hii kazi siyo ya mafanikio ni pesa ya kula na kujikimu matatizo madogo tu na kuisha kujiajiri ni jambo zuri ila sasa siwezi kutoka kwa boss wangu sina chumba sina mchogo niende tu nitapotea kabisa
Upo sawa ila vipi wazo labiashara unalo nataarifa kamili yabiashara unayoitaka kufanya unayo?
 
Ni nayo mawazo mengi sana ya biashara na jinsi kukuza mtaji ila tatizo pesa mkuu kwa mfano unaweza kufanya biashara yeyote kwa siku ukiwa una uhakika wa kupata faida ya 15 kwaiyo faida unaweza kufanya mambo makubwa sana paka watu wakashangaa mawazo ninayo ila sina rasimali pesa ili niweze kufanya kazi ayo mawazo
 
Ni idea gan ulizonazo mkuu, pengine twaweza kuungana coz na mm ni fighter
 
Mkuu idea ni nyingi mkuu ukiingia tu jukwaa la ujasirimali na biashara kuna idea nyingi sana jinsi ya kutoka ila uwe na pesa mkuu mm hapa naomba ushauri kwasababu nimekosa pesa
 
Nawezaje kujiunga na hilo jukwaa mkuu
 
Back
Top Bottom