Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Mawazo mfuSasa kama ni boya kweli ,unataka wakuite mtumbwi mkuu?[emoji23]
Nani tena mfu mkuu? Mimi ama?Mawazo mfu
Labda ametokea kuchunga ng'ombe, hawajuagi utaniAisee!. Yani uue mtu kisa kuitwa boya tu. Mbona kama ni inshu ndogo tu hiyo.
Nakushauri huyo demu aliyekuita boya, wewe andaa tu mkakati ili uje umpate na umpelekee moto kwelikweli hadi ajute kukuita boya.
Nisaidie mkuu, natukanwa mimi mfu kweli π
How?Stand as a MAN not a boy....utaheshimika
Ulivyojiwasilisha kwao ndivyo wanavyokuchukulia...umeyataka mwenyeweHivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki.
Pia naitwa majina ya hovyo, natamani kuwa kauzu kama baadhi ya wanaume wenzangu, inafika wakati msichana ananiita "wewe boya njoo", naumia sana. Kwa nini mimi? Mbona wengine wanaheshimika? Au kisa ni makauzu?
Nipo nasoma Aircraft Engineering degree. Karibuni kwa ushauri!
Tulia ww BoyaHivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki.
Pia naitwa majina ya hovyo, natamani kuwa kauzu kama baadhi ya wanaume wenzangu, inafika wakati msichana ananiita "wewe boya njoo", naumia sana. Kwa nini mimi? Mbona wengine wanaheshimika? Au kisa ni makauzu?
Nipo nasoma Aircraft Engineering degree. Karibuni kwa ushauri!
Hivi ni chuo gani kingine kinatoa Aircraft Engineering degree zaidi ya NITHivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki.