Nifanye nini wasichana waache kunitania?

Nifanye nini wasichana waache kunitania?

Tafuta kitabu kinaitwa THE DATING WIZARD kitabadilisha mfumo wako. Kitabu kiko simple na ukiweka lengo siku 4 mpaka 8 unakimaliza.
kipo humu jf
 
Hivi jamani, nifanyeje ili niogopwe na wasichana? Yaani wawe na hata ile hofu wanaponiona, nipo chuo mwaka wa 2. Inafika kipindi nataniwa hovyo hovyo hata kama sitaki.

Pia naitwa majina ya hovyo, natamani kuwa kauzu kama baadhi ya wanaume wenzangu, inafika wakati msichana ananiita "wewe boya njoo", naumia sana. Kwa nini mimi? Mbona wengine wanaheshimika? Au kisa ni makauzu?

Nipo nasoma Aircraft Engineering degree. Karibuni kwa ushauri!
Try kush bro, utanishukuru
 
Mkuu uspokua makini wanaweza wakavuka mpaka zaidi na kudiriki kukuita mchicha mwiba. dawa ni moja tu atakaekutania mshike nyonyo mbele za watu. hapo heshima itarudi.
 
Back
Top Bottom