Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukubwa ni jaa kwa kweli..
sasa tunaombwa ushauri wa watu wa kila aina...
watu sampuli zote.
mature na immature ...
Mtafutie siku tulivu na mazingira yaliyotulia,mkae pmj muongee kwa nini ameamua hivyo?then u will get solution.
Kitu kinamkera ndio asiseme sasa,...haya mapenzi ya upande mmoja ndio shida zake hizi i.e mwanaume anampenda mwanamke wakati mwanamke ham-feel man............mmmmmmmmh kazi kweli kweliNa kweli. Inawezekana kuna kitu unamkera,ama ana matatizo ya kisaikolojia. Muulize pasipo jazba utamuelewa
Hali yenu . Mm ni mvulana nimebahatika kumpenda msicha kupita kiasi atachokitaka bc nampatia kila kitu endapo akanikosa basi huomba msamaha mm cha ajabu hufika wiki mbili huwa ananinunia naomba ushauri wenu nifanye nini?
Ni utoto tu unamsumbua, akikua ataacha!