Nifanye nini?

Nifanye nini?

Dugo

New Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Hali yenu . Mm ni mvulana nimebahatika kumpenda msicha kupita kiasi atachokitaka bc nampatia kila kitu endapo akanikosa basi huomba msamaha mm cha ajabu hufika wiki mbili huwa ananinunia naomba ushauri wenu nifanye nini?
 
ukubwa ni jaa kwa kweli..
sasa tunaombwa ushauri wa watu wa kila aina...
watu sampuli zote.
mature na immature ...
 
Mtafutie siku tulivu na mazingira yaliyotulia,mkae pmj muongee kwa nini ameamua hivyo?then u will get solution.
 
What do u do when a kid asks u how to operate his toys? Mungu anakuandaa kuwa baba wa teens!
ukubwa ni jaa kwa kweli..
sasa tunaombwa ushauri wa watu wa kila aina...
watu sampuli zote.
mature na immature ...
 
Na kweli. Inawezekana kuna kitu unamkera,ama ana matatizo ya kisaikolojia. Muulize pasipo jazba utamuelewa
Mtafutie siku tulivu na mazingira yaliyotulia,mkae pmj muongee kwa nini ameamua hivyo?then u will get solution.
 
Na kweli. Inawezekana kuna kitu unamkera,ama ana matatizo ya kisaikolojia. Muulize pasipo jazba utamuelewa
Kitu kinamkera ndio asiseme sasa,...haya mapenzi ya upande mmoja ndio shida zake hizi i.e mwanaume anampenda mwanamke wakati mwanamke ham-feel man............mmmmmmmmh kazi kweli kweli
 
Hali yenu . Mm ni mvulana nimebahatika kumpenda msicha kupita kiasi atachokitaka bc nampatia kila kitu endapo akanikosa basi huomba msamaha mm cha ajabu hufika wiki mbili huwa ananinunia naomba ushauri wenu nifanye nini?

Ni utoto tu unamsumbua, akikua ataacha!
 
always when it comes in questions like this, i will ask, HOW OLD ARE U, AND HOW OLD IS SHE.

Sometime utoto unaweza sababisha yote hayo, yeye akikununia alafu wewe ukahangaika kwake yeye ni burudani kabisa, na sio kwamba hakupendi.

Inawezekana ninji nyote ni skul kids sasa mnataka mapenzi yanayo fanana na yawazazi wenu, impossible.
 
Upendo uwe na kiasi, na unampenda akupendaye. ukizidisha ndo kama hivyo, unafanywa zoba!
 
Wewe na yeye bdo ni watoto. Stop for a while. Then piga shule au kitu kingine. Ukiona hatishiki na ukimya wako jua huyo ana mtu tyr. Akishtuka jua anakupenda ila wewe ulijitia kumpenda sana akawa anakushake. Sawa boy? Hapo utapata jawabu.
 
nashauri jf ifunguliwe forum ya 'agony aunt' na masuala kama haya yawe yanapelekwa huko,kisha sisi tubakie na masuala yetu ya cheating,nyumba ndogo,fumanizi,adha ya wakwe,sisi ndo wanaume bana na kaza wa kaza.
 
Back
Top Bottom