si ange mbeep!UmejuJe hakuwazi?
Au txt tu inatosha.Hujambo lakini Kimey.si ange mbeep!
Mliachana wakati bado unampenda. Listen to your heart before you say goodby.jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
Sijambo mpendwa, Kampuni yangu ya uwakili inafilisika mbona siku hizi hunipi kesi?Au txt tu inatosha.Hujambo lakini Kimey.
mhh ndo maana mie kabla sijaachana na mwanaume natafuta wa kumrithi....mateso gani haya sasa!jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
huwa ni ngumu kwa wasichana wengi ila maji ya shingo yakikufika unajirudisha mdogo mdogo.We anza kujpendekeza kwa msela tena,.
Hahaha lolzDamahani kwa kusikia wapotezabusiness .. mie nliachwa kwenye Traffic lights bila kujua kosa...Kwasababu sikujua sababuNikaona haina haja ya kufungua Kesi bali kusonga mbele na maisha ..lolzSijambo mpendwa, Kampuni yangu ya uwakili inafilisika mbona siku hizi hunipi kesi?
we nae khaaa!
Evryday unashauriwa kuhusu huyo mpenz wako!
Kama vp mrudie . Sredi zako kila siku zinafanana! Sorry badilisha muziki.
Tafuta replacement asap..jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa uhusika,nikiangalia muvi ndo shida kabisa.nau nimechoka na muwaza mtu ambaye haniwazi.what can i do people.
najaribu nisahau nnaenda mazoezi sana nau dayz najaribu kujikip buzy kupita kias but nil.nn cha ziada wapendwa?
loh! Tehteh nimeipenda hii. . .mhh ndo maana mie kabla sijaachana na mwanaume natafuta wa kumrithi....mateso gani haya sasa!