Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Sijui kupika mkuu, ni chai tu ndo nawezaBaba ntilie
Ungesema pia unamtaji kiasi gani au kama huna pia ungesema ili wanadar wenzako wakajua wanaanzia wapi kukupa njia zakupita
Mkuu kila siku naona unakuja na post za kichosha watu humu.
Hiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.Natumai mu wazima wote,
Kama kichwa kinavyojieleza, Shughuli yoyote ambayo inaweza kunipatia 10,000 hadi 15,000 kwa siku.
Location: Dar es Salaam
Gender: Male
Mtaji:150,000
Mr Confidential
Karibuni.
😳😳😳Hiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.
Hahaha ulivoandika kitaalamu[emoji23][emoji23]Hiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.
Poa mi nataka kudePosit 170$ kwenye accont yangu....hope things will be good 💪💪💪Hiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.
Hata iyo chai hujui kupika,utakuwa unachemsha maji tu.Sijui kupika mkuu, ni chai tu ndo naweza
KAPIGE DEBE STAND YA UBUNGO TERMINAL MKUU. UHAKIKA ZAIDI HATA YA HIYO 10,000-15,000Natumai mu wazima wote,
Kama kichwa kinavyojieleza, Shughuli yoyote ambayo inaweza kunipatia 10,000 hadi 15,000 kwa siku.
Location: Dar es Salaam
Gender: Male
Mtaji:150,000
Mr Confidential
Karibuni.
NakaziaHiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.
Aliye elewa msaadaHiyo ni kama $ 65. deposit FX, tembelea usizid lot ya 3000 per transaction, yaani tembelea mwisho 0.03. Leverage ya 1:1000.ili margin iwe about 3 hivi. per transaction. Target pips 40 per day. use stop loss, or counter pending order za kuhedge and watch ur trades it very careful.
KAPIGE DEBE STAND YA UBUNGO TERMINAL MKUU. UHAKIKA ZAIDI HATA YA HIYO 10,000-15,000
Mkuu, chai nawezaHata iyo chai hujui kupika,utakuwa unachemsha maji tu.