Nifanye shughuli gani ili nipate 10,000-15,000 kwa siku?

Natumai mu wazima wote,

Kama kichwa kinavyojieleza, Shughuli yoyote ambayo inaweza kunipatia 10,000 hadi 15,000 kwa siku.

Location: Dar es Salaam
Gender: Male
Mtaji:150,000

Mr Confidential

Karibuni.
Never starting any business kwa kuweka profit target especially kwa Mtaji Kama wako, Wewe angalia Ni biashara gani Itakuwa na low risk kwako mf bidhaa zisizoharibika kwa kukosa wateja..Alafu wekeza focus kwenye kuuza yaani jifunze mbinu zote za kuuza Achana kabisa na issue za target profit..Tatizo la target profit for starting business Ni pale unapokosa iyo faida utaanza kupoteza focus..First of all Wewe ingia kwenye game...
 
BILLIONAIRE mind
 
Betting tu ndo inaingiza hata zaid ya hiyo 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…