Nifanyeje huyu mbwa jike wangu asizae?

Nifanyeje huyu mbwa jike wangu asizae?

Uganda walimpa Sokwe dawa za uzazi wa mpango na bado washenzi wakamjaza.
ila ushenzi mwingine bhna .yaani wanyama bado ni adimu baada ya kuwaacha wazaliane waongezeke bado kuna mijitu inaipa madawa ya uzazi....huu ni kutumia akili upside down
 
Wanajitetea kwamba hawana uwezo wa kuwatunza, maana waliweka zoo ya muda ili baadae wawarudishe porini.
 
basi kiherehere cha kuwatunza ilhali hawana uwezo ni nini kama sio shobo kwa wanyama wa watu?? kwanza hao wanyama wana makazi yao ya asili yanayojitosheleza kwa kila kitu huko maporini
 
Rahisi sana Nenda kwa daktari anafanyiwa operation ndogo ya kumtoa kizazi ,hata akiliwa hapati ujauzito
 
Jiongeze bwashee,nenda duka la Mangi umpe 500 ili akuuzie "superglue".Ukampake uchi huku umeubana kama dk 10 hivi.

Hatakunya wala kukojoa hivyo atakufa.Kwa hiyo hao boy friends wake hawatamwona tena na moyo wako utasuuzika.

Pimbi wewe,sikupotoshi!!!
 
Bushmamy

Mueleze madhara ya kufanya ngono siku za hatari
 
Back
Top Bottom