INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
ila ushenzi mwingine bhna .yaani wanyama bado ni adimu baada ya kuwaacha wazaliane waongezeke bado kuna mijitu inaipa madawa ya uzazi....huu ni kutumia akili upside downUganda walimpa Sokwe dawa za uzazi wa mpango na bado washenzi wakamjaza.
Wote tumieni kondomu au mpeni dawa za majira.Hallo wakuu niko na mbwa jike hapa nyumbani nifanyeje asizae tena? Maana midume humfuata hapa nyumbani,
Ushauri tafadhali
Wanajitetea kwamba hawana uwezo wa kuwatunza, maana waliweka zoo ya muda ili baadae wawarudishe porini.ila ushenzi mwingine bhna .yaani wanyama bado ni adimu baada ya kuwaacha wazaliane waongezeke bado kuna mijitu inaipa madawa ya uzazi....huu ni kutumia akili upside down
basi, hitajio lako haliwezekani.Kwa sasa Sina uzio kiongozi
basi kiherehere cha kuwatunza ilhali hawana uwezo ni nini kama sio shobo kwa wanyama wa watu?? kwanza hao wanyama wana makazi yao ya asili yanayojitosheleza kwa kila kitu huko maporiniWanajitetea kwamba hawana uwezo wa kuwatunza, maana waliweka zoo ya muda ili baadae wawarudishe porini.
usimgegede tena
Nimetamani nijijibuRahisi sana Nenda kwa daktari anafanyiwa operation ndogo ya kumtoa kizazi ,hata akiliwa hapati ujauzito
Hallo wakuu niko na mbwa jike hapa nyumbani nifanyeje asizae tena? Maana midume humfuata hapa nyumbani,
Ushauri tafadhali
Hahahahaaa, mtaalamu wa kupiga vyombo, hongera kwa ushauri.Rahisi sana Nenda kwa daktari anafanyiwa operation ndogo ya kumtoa kizazi, hata akiliwa hapati ujauzito
Jiongeze bwashee,nenda duka la Mangi umpe 500 ili akuuzie "superglue".Ukampake uchi huku umeubana kama dk 10 hivi.
Hatakunya wala kukojoa hivyo atakufa.Kwa hiyo hao boy friends wake hawatamwona tena na moyo wako utasuuzika.
Pimbi wewe,sikupotoshi!!!