Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
- Thread starter
-
- #21
hahahah,nimemuuliza kama anachukia jinsi ninavyomlog off,kasema hapana,yeye anapenda sana nikimlog off.Labda anakereka unavyo-log off mara kwa mara hadi kwenye six bai six....
nimeshamwambia hayo nakumwambia achukue taimu zake,kasema yeye haendi kokote mimi nimeumbwa kwa ajili yake.mueleze ukweli kuwa huvutiwi na tabia zake
Kwann ujipe shida maisha mafupi haya mkuu.
huyu dinner huwezi kumtoa kwa kuwa hata mimi huwa hataki kutoka nami.mkuu wacha nikusaidie atakuwacha tu mku, cha kufanya niambie alipo nimfuate, nimtoe dinner afu nimwambie kua huna mpango nae tena
nikimlog off huwa hataki kutoka ndani ya nyumba,anasema mimi nimeumbwa kwa ajili yake nimfanye lolote nitakalo lkn kutoka huwa hataki,mpaka mimi huwa inaniingia huruma na kumlog in.m-log off
atajijuu
ndio atasema nimempa kilema na hataolewa tena na mwanaume mwengine na kuning'ang'ania mimi.mmwagie tindikali akome
hapana hatukuulizana lolote mwanzo wa mahusiano yetu.hamkuulizana wakati mnaanza?
nimekuelewa kiongozi ngoja nifanye hivyo.log off mkuu
hilo linaweza kuwa ni tatizo eh!inaonekana huwa una log off mara kwa mara wakati wakugegeda ndomaana anakuzingua punguza kulog off
we ulikuwa wapi? hili bonge la wazo ngoja niwahi kununua tindikali kabla haijaanza kuwa dili.
Nalog off
hilo linaweza kuwa ni tatizo eh!
Nalog off
nitamvizia na kumwagia kinyemela sidhani kama watanishtukia.huogopi kufungwa?
sasa mbona huwa namuuliza na yeye hasemi kama hilo ndio tatizo?yeah, tena bonge la tatizo
Nalog in!
we ulikuwa wapi? hili bonge la wazo ngoja niwahi kununua tindikali kabla haijaanza kuwa dili.
Nalog off
basi nakushukuru sana kwa ushauri wako ule mkuu.Mi nipo sema tu sijawahi ona hii post before ni leo tu.
nikimlog off huwa hataki kutoka ndani ya nyumba,anasema mimi nimeumbwa kwa ajili yake nimfanye lolote nitakalo lkn kutoka huwa hataki,mpaka mimi huwa inaniingia huruma na kumlog in.
Nalog off
Hapo ndipo ule usemao * Stahamili japo unaumia* unapochukua nafasi.Kuna wanawake wa kabila fulani hapa tz
hata upige kama ngoma haondoki;
na haishi vituko; pengine umeoa huko huko
kaza buti siku yatakuwa sawa.
anzeni upya
muanze kwa kuulizana hadi majina yenu[
na usiwe una log off mara kwa mara ssQUOTE=Washawasha;7368145]hapana hatukuulizana lolote mwanzo wa mahusiano yetu.
Nalog off