Nifanyeje ili flash yangu iweze kupokea movie za 4K?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb.

Naombeni muongozo
Cc: Chief-Mkwawa
 
Format flash.
Othetwise flash ya kichina wanaandika GB wanazotaka ila kiuhalisia ni ndogo sana
 
Ngoja waje wataalamu.

Ila kwa kuanza unajuaje kama haisupport. Yaani ukiplay kwenye TV au?

Ungeiformat uitoe FAT32 iende NTFS kama iyo movie ni kubwa zaidi ya 4GB.
 
Huwa inaandika hivi “the file is too large for the destination file system”
 
Ngoja waje wataalamu.

Ila kwa kuanza unajuaje kama haisupport. Yaani ukiplay kwenye TV au?

Ungeiformat uitoe FAT32 iende NTFS kama iyo movie ni kubwa zaidi ya 4GB.
Ingia YouTube namna ya kufanya hivi[emoji115]
 
Back
Top Bottom