File Lina ukubwa gani? Kama umeformat flash kwa FAT32 na file ni la 4GB ama zaidi halitakubali.Nimedownload movie zenye 4K ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb.
Naombeni muongozo
Cc: Chief-Mkwawa
Huwa inaandika hivi “the file is too large for the destination file system”Ngoja waje wataalamu.
Ila kwa kuanza unajuaje kama haisupport. Yaani ukiplay kwenye TV au?
Ungeiformat uitoe FAT32 iende NTFS kama iyo movie ni kubwa zaidi ya 4GB.
Ingia YouTube namna ya kufanya hivi[emoji115]Ngoja waje wataalamu.
Ila kwa kuanza unajuaje kama haisupport. Yaani ukiplay kwenye TV au?
Ungeiformat uitoe FAT32 iende NTFS kama iyo movie ni kubwa zaidi ya 4GB.