Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na urafiki pia ambao ulikuwepo kwa muda mrefu.
Ajabu pia hata wale ambao niliamua kukataa mahusiano ya kimapenzi nao ili tuendelee na urafiki kawaida, wenyewe nao walianza kujipunguza taratibu hatimae urafiki ukafa kabisa, nafikiri walijisikia vibaya kwa Mimi kwenda nao against.
Currently, kuna mtu nae namuona anakuja na mlengo huuhuu najua tu mwisho wake hautakuwa mzuri, probably urafiki utakufa tu siku za usoni.
Msaada wakuu ili hawa watu tuendelee kuwa marafiki tu hisia za mapenzi zisijitokeze niishi nao vipi.