Nifanyeje ili marafiki zangu wa kike wasiangukie mapenzini na mimi

Asante dada, barikiwa.
 
Ngoja nikuitie mwalimu wa hayo makitu
Carleen pita huku kamanda
 
Usipowala watakudharau kwa kukuzushia; kibamia, hana nguvu za kiume, una tabia za kike n.k ; unatakiwa uwapelekee moto, kama huwezi achana na huo ukaribu; hakuna urafiki wakawaida kati ya me/ke
 
Changamkia mbuchuchu,hakuna shida yeyote kata mauno mwamba,kwenye mti hakuna wajenzi
 
Hakuna urafiki kati ya Mwanaume na Mwanamke, Aisee vidume wanapotea kwa kasi ya ajabu.
 
Huyo mwanamke ulomuoa ndo alikutoa bikra?!
 
Aisee watu mnachukulia sex serious sana, hv unajua ukijaliwa kuishi miaka 60 hapa duniani kimahesabu utakuwa umetumia miaka mingapi kusex, haizidi minne, hiyo miaka mingine yote tunatumia kusocialize na wenzetu, sex sio kila kitu kama unavodhani
MMkuu Lila mtu ana hobbies zake we la hupendi s*x ni were mkuuwenzio wanapenda yaani simply hatufanani so kila mtu aishi kwa mtazamo wake
 
Ngoja ije ile team iliyosema "tigo ni tunu" wakutukane mana wanaona kwenye miti hakuna wajenzi🤣🤣🤣🤣🤣
 
I never ate a friend, classmate and workmate.

Nimeshindwaga hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…