Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

Hapana sikuwahi kuchoma sindano yoyote

Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
 
Hapana sikuwahi kuchoma sindano yoyote

Ni vizuri kama hujachoma sindano au kutumia aina yeyote ya family planning.Nenda kariuki watakupiga ultra sound kuangalia mtoto amekaaje,wakiona kakaa vizuri watakupa vidonge na kama kakaa vibaya watakushauri zaidi ila acha kufanya mapenzi kwanza mpaka umwone dokta na hata ukifanya mapenzi huyo mwenzio asifanye mikito na usikae style ya mbuzi kagoma.jitahidi akulalie kifuani tu na afanye taratibu.
 
Asante kwa ushauri wako nitafanya hivo

Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
 
Asante sana nitafanya hivo haraka.

 
ndugu yangu, unachotakiwa kujua ni kwamba watoto ni zawado toka kwa Mungu na utapata watoto waliokamilika miezi tisa kama kawaida kwa msaada wa Mungu. mshirikishe Mungu katika maisha yako yeye atawalinda tangu tumboni mwako hadi wakizaliwa. kuwa na watoto ni liability, bila msaada wa Mungu ni mzigo mkubwa sana kabla ya kuzaliwa na wakishazaliwa kwasababu adui shetan/wachawi etc hutaka kuwashambulia muda wote, usipokuwa macho kumwomba Mungu awalinde kuna matatizo.

ushauri wangu, kama ukipata mimba jitahidi usinyanyue vitu vizuto na usifanye kazi nzito hadi mimba ikomae. na kama unayo historia kama yako hiyo ya kutoka mimba, pata bedrest hadi ujifungue nikimaanisha usishirikiane kimapenzi na mumeo, usifanye kazi nzito etc. kama unataka mtoto utavumilia tu kuyafanya haya. mimba za mwanzoni nyingi huharibika kutokana na kazi nzito, safari ndefu, kufanya mapenzi n.k. pata bedrest, kula vyakula venye madini etc na fuata ushauri wa daktari.
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri.. namuomba sana mungu alijalie nilee vizuri na nizae salama,Thank you alot

 
Kweli ehhh it would be interesting to hear what other people think of you!!!and by the way mtu hajisifii bali husifiwa!

Sasa wewe utanisifia unanijua?? wanaonijua wananisifia sana tena sana.vipi na wewe unataka unisifie?? karibu dada usiku mmoja mpaka asubuhi utanisifia mpaka basi.
 
Pole, Muhimu ni kuanza kliniki mapema kwa madaktari wa kinamama..Ukianza kliniki daktari atakushauri upate mapumziko mazuri(bed rest) ,vilevile kuna dawa anaweza kukupa za homoni zinaitwa duphaston 10mg,ni vizuri ujiandae mana dozi yake ni ya muda mrefu na zinauzwa ghali kidonge 2000.

Hizi dawa ni za homone usinunue hovyo bila kuandikiwa na daktari wako.Nimekutajia jina la dawa ili upate mwanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…