Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Nani ana roho ya fisi?
Mmmmmm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ana roho ya fisi?
Mmmmmm
We Abunuasi....
Sijaongea point hata siku moja ila nina like nyingi kuliko wewe,nimesoma kuliko wewe,nina pesa kuliko wewe.
Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
Hapana sikuwahi kuchoma sindano yoyote
Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
Uwe na vyoteee hivo lakini ukikosa busara na hekima ni bure tu?
Ni vizuri kama hujachoma sindano au kutumia aina yeyote ya family planning.Nenda kariuki watakupiga ultra sound kuangalia mtoto amekaaje,wakiona kakaa vizuri watakupa vidonge na kama kakaa vibaya watakushauri zaidi ila acha kufanya mapenzi kwanza mpaka umwone dokta na hata ukifanya mapenzi huyo mwenzio asifanye mikito na usikae style ya mbuzi kagoma.jitahidi akulalie kifuani tu na afanye taratibu.
ndugu yangu, unachotakiwa kujua ni kwamba watoto ni zawado toka kwa Mungu na utapata watoto waliokamilika miezi tisa kama kawaida kwa msaada wa Mungu. mshirikishe Mungu katika maisha yako yeye atawalinda tangu tumboni mwako hadi wakizaliwa. kuwa na watoto ni liability, bila msaada wa Mungu ni mzigo mkubwa sana kabla ya kuzaliwa na wakishazaliwa kwasababu adui shetan/wachawi etc hutaka kuwashambulia muda wote, usipokuwa macho kumwomba Mungu awalinde kuna matatizo.Habari zenu wana jamiiforums.
Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.
Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?
Asanteni
ndugu yangu, unachotakiwa kujua ni kwamba watoto ni zawado toka kwa Mungu na utapata watoto waliokamilika miezi tisa kama kawaida kwa msaada wa Mungu. mshirikishe Mungu katika maisha yako yeye atawalinda tangu tumboni mwako hadi wakizaliwa. kuwa na watoto ni liability, bila msaada wa Mungu ni mzigo mkubwa sana kabla ya kuzaliwa na wakishazaliwa kwasababu adui shetan/wachawi etc hutaka kuwashambulia muda wote, usipokuwa macho kumwomba Mungu awalinde kuna matatizo.
ushauri wangu, kama ukipata mimba jitahidi usinyanyue vitu vizuto na usifanye kazi nzito hadi mimba ikomae. na kama unayo historia kama yako hiyo ya kutoka mimba, pata bedrest hadi ujifungue nikimaanisha usishirikiane kimapenzi na mumeo, usifanye kazi nzito etc. kama unataka mtoto utavumilia tu kuyafanya haya. mimba za mwanzoni nyingi huharibika kutokana na kazi nzito, safari ndefu, kufanya mapenzi n.k. pata bedrest, kula vyakula venye madini etc na fuata ushauri wa daktari.
Kweli ehhh it would be interesting to hear what other people think of you!!!and by the way mtu hajisifii bali husifiwa!Nina busara sana tena nawashauri waafrika wezangu na wazungu alafu nina huruma natunza watoto yatima.
Sijaongea point hata siku moja ila nina like nyingi kuliko wewe,nimesoma kuliko wewe,nina pesa kuliko wewe.
Kweli ehhh it would be interesting to hear what other people think of you!!!and by the way mtu hajisifii bali husifiwa!
Kweli ehhh it would be interesting to hear what other people think of you!!!and by the way mtu hajisifii bali husifiwa!
Hapo pa kunizidi likes mi hoi
Sasa wewe utanisifia unanijua?? wanaonijua wananisifia sana tena sana.vipi na wewe unataka unisifie?? karibu dada usiku mmoja mpaka asubuhi utanisifia mpaka basi.
Uwe na vyoteee hivo lakini ukikosa busara na hekima ni bure tu?