Nifanyeje ili mke wangu asigundue kuwa sikufanya mapenzi hivi karibuni?

Nifanyeje ili mke wangu asigundue kuwa sikufanya mapenzi hivi karibuni?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi.

Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili.

Sasa sasa mm nilimdanganya miaka yote sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote kitu ambacho si kweli, hata jana nimebanjuka na manzi.

So nimepita na wengi sasa akifika nifanyaje ili ajue ndani ya hiyo miaka 2 sijabanjuka.

Naombeni msaada wana jf
 
2cb39eba722b2e08516b9f0936cd6515.jpg
 
Back
Top Bottom