Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Hilo swali naye amewauliza wadada wengine huko alipo ili asaidiwe usijue ila Mapenzi we unajiona mjanja kumbe mwenzio nae mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miguno na makelele katoe wewe
Atajua ulimiss utamu ni muda mrefu hujapata.
Mpu uuzi wewe hata kuandika hujuiIko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi.
Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili.
Sasa sasa mm nilimdanganya miaka yote sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote kitu ambacho si kweli, hata jana nimebanjuka na manzi.
So nimepita na wengi sasa akifika nifanyaje ili ajue ndani ya hiyo miaka 2 sijabanjuka.
Naombeni msaada wana jf
Tiktok mkuu💀
Simu yangu imepasuka kioo eti humu ni Facebook au YouTube