Nifanyeje ili nifanikiwe kimaisha

Nifanyeje ili nifanikiwe kimaisha

Before you think of giving up in life, just take a look at the hairs around your anus. Despite their environment, they still Grow.
Yani zimejifiha lkn wapi, watu wanazificha Kwa nguo, taulo wakitoka kuoga, wengine huzpaka div lkn bado zinakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rahisi sana.

Fanya mambo haya matatu (3) utapata pesa.

1 • Jifunze kuwa seller.

- acha uwoga jifunze kuwa seller. Kama unategemea mtandao kuuza basi jiulize je, una ujuzi gani unaweza kutumia kumsaidia mtu na akakulipa?

- there hundreds of people looking for service or product to buy online everyday.

2 • Anzisha blog.

- kuanzisha blog ni gharama nafuu sana na unaweza kutengeneza kipato kizuri tu mtandaoni.

3 • Jifunze "people skills"

- hapa nazungumzia uwezo kunetwork na watu unaodhani wanaweza kukupiga push kwenye harakati zako.

Je, utaweza kufanyia kazi haya machache niliyokueleza?
 
Back
Top Bottom